waziri2020
Senior Member
- May 31, 2019
- 197
- 468
Hongera sana Bwanza Odero wewe ni shujaa was ukweli unayetetea maslahi UA taifa na sio watu wachache walafi Mungu akitangulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afungue pia kesi kupinga michango ya harusi na send-off!Wanaukumbi.
Mwanaharakati wa Masuala ya Haki za Binadamu, Charles Odero, amefungua kesi Katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga tozo za Miamala ya Simu iliyoanza Julai Mosi. Kesi hiyo itaanza Alhamisi,Agosti 12.
Hawa ndiyo wanaharakati wanaotakiwa wapo kwa ajilii ya maslahi ya taifa.
Alaa Salah, shangazi mwenye umri ya miaka 22 aliongoza wananchi Sudan kusimamia Haki;
Alaa Salah, alikuwa mstari wa mbele kupinga utawala wa kidikteta wa Omar Al-Bashir hadi ulipoanguka. Tanzania tunanogeshana kwa Space huku wamekaa kwenye sofa majumbani wanakunywa wisk tu karanga.
He might as well.Afungue pia kesi kupinga michango ya harusi na send-off!
mungu amsaidieWanaukumbi.
Mwanaharakati wa Masuala ya Haki za Binadamu, Charles Odero, amefungua kesi Katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga tozo za Miamala ya Simu iliyoanza Julai Mosi. Kesi hiyo itaanza Alhamisi,Agosti 12.
Hawa ndiyo wanaharakati wanaotakiwa wapo kwa ajilii ya maslahi ya taifa.
Alaa Salah, shangazi mwenye umri ya miaka 22 aliongoza wananchi Sudan kusimamia Haki;
Alaa Salah, alikuwa mstari wa mbele kupinga utawala wa kidikteta wa Omar Al-Bashir hadi ulipoanguka. Tanzania tunanogeshana kwa Space huku wamekaa kwenye sofa majumbani wanakunywa wisk tu karanga.
Sasa mungu amsaidie vipi wakati tozo zipo kisheria.mungu amsaidie
Kilichotakiwa kufanyika ni kufungua kesi kuiomba Mahakama Kuu ivifute vifungu vinavyosema tulipe hizo tozo za Simu. Waliofuata utaratibu mzuri ni LHRC kwa shauri lao hili.Wanaukumbi.
Mwanaharakati wa Masuala ya Haki za Binadamu, Charles Odero, amefungua kesi Katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga tozo za Miamala ya Simu iliyoanza Julai Mosi. Kesi hiyo itaanza Alhamisi,Agosti 12.
Hawa ndiyo wanaharakati wanaotakiwa wapo kwa ajilii ya maslahi ya taifa.
Alaa Salah, shangazi mwenye umri ya miaka 22 aliongoza wananchi Sudan kusimamia Haki;
Alaa Salah, alikuwa mstari wa mbele kupinga utawala wa kidikteta wa Omar Al-Bashir hadi ulipoanguka. Tanzania tunanogeshana kwa Space huku wamekaa kwenye sofa majumbani wanakunywa wisk tu karanga.
Haya ndo mambo Watanzania tunataka siyo kutwa nzima kwenye mitandao kuandika Mbowe siyo Gaidi, hiyo kwetu sisi haituhusu apambane na hali yake.Wanaukumbi.
Mwanaharakati wa Masuala ya Haki za Binadamu, Charles Odero, amefungua kesi Katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga tozo za Miamala ya Simu iliyoanza Julai Mosi. Kesi hiyo itaanza Alhamisi,Agosti 12.
Hawa ndiyo wanaharakati wanaotakiwa wapo kwa ajilii ya maslahi ya taifa.
Alaa Salah, shangazi mwenye umri ya miaka 22 aliongoza wananchi Sudan kusimamia Haki;
Alaa Salah, alikuwa mstari wa mbele kupinga utawala wa kidikteta wa Omar Al-Bashir hadi ulipoanguka. Tanzania tunanogeshana kwa Space huku wamekaa kwenye sofa majumbani wanakunywa wisk tu karanga.
Bado yuko busy na utalii, kwenye kiti cha Urais tumepigwa hakuna Rais paleHuyu samia alisema ameunda tume kufuatilia tozo !Hiyo tume imefikia wapi?
Huyu samia alisema ameunda tume kufuatilia tozo !Hiyo tume imefikia wapi?
We mwanaCcm mnafiki mkubwa.Hata mimi naweza kuwa shahidi wake kwenye hili kesi na haya ndiyo mambo ya msingi kuipigia kelele.
Mataga pori punguza jazba.Akili za maiti nadhani wanazo baba yako na Mama yako mpaka wamekupata wewe.
Bwana Yesu asifiwe
Ritz kwa mara ya kwanza umeongea jambo la mbolea! Nakubaliana na wewe uharakati ni vitendo na sio uharakati wa mitandaoni,nampongeza sana charles kwa hatua aliyochukua, ajaishia tu kulalamika tozo toz mitandaoni bali ameenda next step ya kisheria ,wapo baadhi ya wanaharakati wamepinga vitu kwa vitendo kuhusu mambo mabli mbali.
Tozo inaumiza sana hasa kwa sisi tunaotuma na kupokea miamala,kazi zetu zinafanyika maporini hivyo transactions nyingi tunatumia simu,tunakatwa sana tozo zinaumiza ,ukituma 50k basi andaa 4100 ya serikali ya nyongeza ukiachana na za awali za makato.
vimeumana wenyewe kwa wenyewe someshaneni namba tuHiyo tume tunaipeleka MAHAKAMANI wakajibu hoja 😄
Moja ya sababu ya kutosikiliza malalamiko ya katiba mpya.Kilichotakiwa kufanyika ni kufungua kesi kuiomba Mahakama Kuu ivifute vifungu vinavyosema tulipe hizo tozo za Simu. Waliofuata utaratibu mzuri ni LHRC kwa shauri lao hili.
TAARIFA KWA UMMA
KESI YA KUPINGA SHERIA NA KANUNI ZA TOZO KATIKA MIAMALA YA SIMU
Siku ya tarehe 27/07/2021 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kilifungua shauri la namba 11 ya mwaka 2021 kuomba Mapitio ya Mahakama Kuu (Judicial Review) kuhusu National Payments System Act Cap. 437 pamoja na kanuni zake zilizoweka tozo katika miamala ya fedha kwa njia ya simu. Kesi imetajwa kwa mara ya kwanza tarehe 05/08/2021 mbele ya Mh. Jaji John Mgeta.
LHRC kimefungua kesi hiyo kufuatia kupitishwa kwa mapendekezo ya Bajeti ya Serikali 2021/22 pamoja na sheria ya fedha ilipelekea kuweka tozo katika miamala ya fedha inayofanywa kwa njia ya simu, jambo ambalo limeongeza mzigo kwa mwananchi wa kawaida pamoja na wafanyabiashara wadogo na wakubwa.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kilifanya uchambuzi wa hotuba ya bajeti iliyowasilishwa mnano tarehe 10/06/2021 na Waziri wa Fedha na Mipango Mh. Mwigulu Nchemba kuhusu athari ya tozo katika miamala ya simu kwa wananchi ambapo mapendekezo hayo yalirudiwa tena baada ya kuletwa kwa madiliko ya sheria ya fedha.
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itasikiliza tena kesi hiyo kwa mara ya pili siku ya tarehe 16/08/2021.
Imetolewa leo Agosti 06, 2021 na
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)
Bi. Anna Henga
Mkurugenzi Mtendaji
Mataga pori punguza jabza.Hahaha hamna jazba huo ndiyo utaratibu wangu ukija kipuuzi unajibiwa kipuuza naona mpini umekuingia.
Bunge hili liliundwa kishetani toka juu mpaka chini.Hahahaah CCM mnatengeneza tatizo then mnataka kupata fursa kwenye hilo tatizo! Wabunge wote 300+ wa CCM walipitisha huu upotolo, then mnataka watu watumie mitandao kukataa tozo! Basi tuvunje bunge tuwe na mijadala tu kwenye mitandao.