Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeanzisha harakati zipi za mambo ya msingi ?Wanaukumbi.
Mwanaharakati wa Masuala ya Haki za Binadamu, Charles Odero, amefungua kesi Katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga tozo za Miamala ya Simu iliyoanza Julai Mosi. Kesi hiyo itaanza Alhamisi,Agosti 12.
Hawa ndiyo wanaharakati wanaotakiwa wapo kwa ajilii ya maslahi ya taifa.
Alaa Salah, shangazi mwenye umri ya miaka 22 aliongoza wananchi Sudan kusimamia Haki;
Alaa Salah, alikuwa mstari wa mbele kupinga utawala wa kidikteta wa Omar Al-Bashir hadi ulipoanguka.
Tanzania tunanogeshana kwa Space huku wamekaa.kwenye sofa majumbani wanakunywa wisk tu karanga.
View attachment 1885631
Hata mimi naweza kuwa shahidi wake kwenye hili kesi na haya ndiyo mambo ya msingi kuipigia kelele.
Hio Avatar jamaa anasura ngumu sanaRitz kwa mara ya kwanza umeongea jambo la mbolea! Nakubaliana na wewe uharakati ni vitendo na sio uharakati wa mitandaoni,nampongeza sana charles kwa hatua aliyochukua ,ajaishia tu kulalamika tozo toz mitandaoni bali ameenda next step ya kisheria ,wapo baadhi ya wanaharakati wamepinga vitu kwa vitendo kuhusu mambo mabli mbali.
Tozo inaumiza sana hasa kwa sisi tunaotuma na kupokea miamala,kazi zetu zinafanyika maporini hivyo transactions nyingi tunatumia simu,tunakatwa sana tozo zinaumiza ,ukituma 50k basi andaa 4100 ya serikali ya nyongeza ukiachana na za awali za makato.
Hiyo tume tunaipeleka MAHAKAMANI wakajibu hoja 😄Huyu samia alisema ameunda tume kufuatilia tozo !Hiyo tume imefikia wapi?
Bunge kibogoyo aliwahi kusema Pascal Mayala japo aliitwa na ndungai kwenye kamati ya maadiliHahahaah CCM mnatengeneza tatizo then mnataka kupata fursa kwenye hilo tatizo! Wabunge wote 300+ wa CCM walipitisha huu upotolo, then mnataka watu watumie mitandao kukataa tozo! Basi tuvunje bunge tuwe na mijadala tu kwenye mitandao.
Acha kujitapa hivyo mkuuHata mimi naweza kuwa shahidi wake kwenye hili kesi na haya ndiyo mambo ya msingi kuipigia kelele.
Ritz kwa mara ya kwanza umeongea jambo la mbolea! Nakubaliana na wewe uharakati ni vitendo na sio uharakati wa mitandaoni,nampongeza sana charles kwa hatua aliyochukua ,ajaishia tu kulalamika tozo toz mitandaoni bali ameenda next step ya kisheria ,wapo baadhi ya wanaharakati wamepinga vitu kwa vitendo kuhusu mambo mabli mbali.
Tozo inaumiza sana hasa kwa sisi tunaotuma na kupokea miamala,kazi zetu zinafanyika maporini hivyo transactions nyingi tunatumia simu,tunakatwa sana tozo zinaumiza ,ukituma 50k basi andaa 4100 ya serikali ya nyongeza ukiachana na za awali za makato.
Huna unalojua.... Hyu Odero ni CHADEMA tokea akiwa bachelors pale SAUT. Kiri basi kuwa CHADEMA ina watu serious maana unayemsifia ni CHADEMA kindaki ndaki tokea CHASO!Wanaukumbi.
Mwanaharakati wa Masuala ya Haki za Binadamu, Charles Odero, amefungua kesi Katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga tozo za Miamala ya Simu iliyoanza Julai Mosi. Kesi hiyo itaanza Alhamisi,Agosti 12.
Hawa ndiyo wanaharakati wanaotakiwa wapo kwa ajilii ya maslahi ya taifa.
Alaa Salah, shangazi mwenye umri ya miaka 22 aliongoza wananchi Sudan kusimamia Haki;
Alaa Salah, alikuwa mstari wa mbele kupinga utawala wa kidikteta wa Omar Al-Bashir hadi ulipoanguka.
Tanzania tunanogeshana kwa Space huku wamekaa.kwenye sofa majumbani wanakunywa wisk tu karanga.
View attachment 1885631
Mwanasheria njaa bashiru yakubu?? Hyu aliacha mambo ya msingi akaanza kujaza thread za kumshambulia Lissu tu akapotelea baada ya kukosa teuzi na ubunge!!Hv ile kesi ilofunguliwaga na jamaa mmoja hv (nmesahau jna lake) ilikuwa inahusiana na mitandao ya simu,,,ile kesi iliishia wapi?
Ni Kafiri na ni CHADEMA pia!! Unajisikiaje?Hata mimi naweza kuwa shahidi wake kwenye hili kesi na haya ndiyo mambo ya msingi kuipigia kelele.
Mtu Yuko ubelgiji anakunywa supu , alaf anakupa maelekezo uliyepo kwenye daladala za gongo la mboto , umebanana na unanuka jasho ...!!! Anyway huyu mwanaharakati nionyesheni accnt yake Twitter nimfollow