Usiwe punguani kwani mtu akiwa Chadema akifanya jambo la kitaifa nimchukie? Mfalme wako Mbowe, alimleta Lowassa akampa na nafasi ya kugombea urais, unadhani mimi na akili mandanzi kama wewe.Huna unalojua.... Hyu Odero ni CHADEMA tokea akiwa bachelors pale SAUT. Kiri basi kuwa CHADEMA ina watu serious maana unayemsifia ni CHADEMA kindaki ndaki tokea CHASO!
We huna credibility humu ni mfia dini tu aliye biased na CHADEMA. It seems ulikua team Zitto na Arfi ssa mlipotimuliwa ukaanza chuki na walutheri na CHADEMA!! Sadly ni kwamba vita unayopigana JPM na Wassira waliishindwa!! Sembuse ww mfia dini usiyetambulika hapo chamwino??Ikiwa unajenga uadui na kuumizwa na mitazamo au maoni ya watu wengine basi wewe ni dikteta hatari sana, yaaani unamchukia mtu kwa sababu ya Mitazamo na maoni yake?
Sasa wale mashangazi zenu wanataka wanataka wajadiliane twitter na watu wanaowashangilia tu, ukiwakosoa BLOCK!
Usiwe punguani kwani mtu akiwa Chadema akifanya jambo la kitaifa nimchukie? Mfalme wako Mbowe, alimleta Lowassa akampa na nafasi ya kugombea urais, unadhani mimi na akili mandanzi kama wewe.
Najua inakuuma sana kugundua uliyemsifia ni kafiri wa CHADEMA!! But uzuri akili itakurudi kwamba watu makini wapo CHADEMA tu. Huko CCM kuna nani kapeleka petition au hta kutoa povu mtandaoni??Najisikia raha tu wala hamna shida mbona Padri Slaa tulimpigia kura.
Watu kama hawa lazima wajitokeze kwenye kila uzi,atakuja mwingine atasema walizaliwa wote kijijini kwaoMkuu Odero C. Odero aliemaliza chuo pale SAUT 2012 ndo umlikua nae sekondari miaka 30 iliyopita?
Au ni Odero mwingine?
Huyo ni chadema mwenye akili anafanya vitu kwa mkakati ni tofauti na wale chadema wanaopiga makelele na kutukana hovyo mitandaoni kama wakina mdudeHuna unalojua.... Hyu Odero ni CHADEMA tokea akiwa bachelors pale SAUT. Kiri basi kuwa CHADEMA ina watu serious maana unayemsifia ni CHADEMA kindaki ndaki tokea CHASO!
Huyu jamaa aliwahi kua mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Rorya. Naona tayari anayo Asasi yake.Watu kama hawa lazima wajitokeze kwenye kila uzi,atakuja mwingine atasema walizaliwa wote kijijini kwao
Ila kwa hili jambo ni utashi wake wala haihusiani na chadema huwa hamna mikakati zaidi ya kukurupuka na kutukana watu.Huyu jamaa aliwahi kua mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Rorya. Naona tayari anayo Asasi yake.
CHADEMA siyo rahisi kurudi nyuma bali kwenda mbele kwani kizazi kilichozaliwa wakati wapo fire ndo wanazidi kuwepo kwenye taasisi mbalimbali.
Ipo siku ccm watajikuta kila mtu anawakataa ndani ya taasisi zote kwani wanaowashabikia ni kwasababu ya maslahi flani wanazopata
Mwigulu is a total failure kwenye ubunifu wa vyanzo vipya vya mapato.Ndo uchumi wa kina mwigulu huu
Kiukweli kwenye mawaziri wote waliopita tangu enzi za uhuru huyu ndio waziri mbovu kuliko woteMwigulu is a total failure kwenye ubunifu wa vyanzo vipya vya mapato.
Wanaongeza kodi kwenye sehemu ambazo tayari zinakatwa kodi kubwa tu badala ya kutafuta kitu kipya ambacho hakijatozwa kodi kabla au kina kodi ndogo sana.
Wanataka nchi iendelee wanasambaza umeme vijijini huku wanaongeza kodi kwenye vifaa vya ujenzi!! Wanataka watu waweke umeme kwenye nyumba za nyasi na udongo?
Wanaongeza tozo kubwa juu ya tozo za miamala ya fedha za mitandao ya simu huku lengo watu wa vijijini walio mbali na hudama za kibenki waendelee kufukia pesa ardhini?
Wenzao wanahimiza fedha za mitandaoni kuinua mfumo wa kilimo cha kibiashara hadi kwa wakulima wadogowadogo vijijini lengo kuboresha maisha yao kisha wachangie pato la taifa.
Mwigulu hafai kuwa waziri wa wizara yoyote ile.Kiukweli kwenye mawaziri wote waliopita tangu enzi za uhuru huyu ndio waziri mbovu kuliko wote
Wewe kama uoni umuhimu wa katiba mpya ni wewe na ujanja wako; au wewe ni mmoja wa wanaofuata upepo? siku serikali ikisema katiba mpya yes then unarudi tena kuliunga tera.Ila kwa hili jambo ni utashi wake wala haihusiani na chadema huwa hamna mikakati zaidi ya kukurupuka na kutukana watu.
Pia hamna constistence ya jambo moja likakamilika huwa mnakurupuka na kuwakaririsha watu "katiba mpya,katiba mpya,katiba mpya"
Iko hivi chadema mnakurupuka huwa hamna mikakati,kuna vitu vingi hamuwezi kutafakari kwa kina.Wewe kama uoni umuhimu wa katiba mpya ni wewe na ujanja wako; au wewe ni mmoja wa wanaofuata upepo? siku serikali ikisema katiba mpya yes then unarudi tena kuliunga tera.
Kwanza usiniite Chadema mimi ni mtu free; je unajua maana ya katiba? unaposema serikali ikaamua kutoifuata tutafanya nini inonesha ni kwa maana gani hujui maana wala sababu ya watu kuitaka katiba mpya iliyo bora.Iko hivi chadema mnakurupuka huwa hamna mikakati,kuna vitu vingi hamuwezi kutafakari kwa kina.
Assume katiba ikibadilishwa na serikali ikaamua kutoifuatisha mtafanya nini?
Na je katiba iliyopo sasa vipengele vyote vinafuatwa?hayo ndio mambo ya msingi ya kujiuliza kwanza kabla ya kukurupuka
Usichanganye mambo,naongelea Tanzania wewe unaongea mifano ya marekani.Kwanza usiniite Chadema mimi ni mtu free; je unajua maana ya katiba? unaposema serikali ikaamua kutoifuata tutafanya nini inonesha ni kwa maana gani hujui maana wala sababu ya watu kuitaka katiba mpya iliyo bora.
Unajua ni kwanini posta USA wakati wa uchaguzi walimkatalia rais Donald Drump kuhusu suala la kuhesabu kura?
Ujinga ni kipaji.
Mkishakua nautaya mtujulishe namba yakuchangiaTumchangie gharama za kesi.
Aliyeleta tozo ni hovyo kabisa
[emoji28][emoji2][emoji1][emoji1241]Hizi hati na uendeshaji wa kesi unatakiwa uwe kwa lugha ya Kiswahili, sielewi kwanini mahakama zetu hadi sasa zinatumia lugha ya nje utadhani tupo hospitalini.
Daah nikweli kabisaWatawaliwa tuunde umoja wetu dhidi ya watawala, maana wametugeuza ni mashamba yao
Wanaukumbi.
Mwanaharakati wa Masuala ya Haki za Binadamu, Charles Odero, amefungua kesi Katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga tozo za Miamala ya Simu iliyoanza Julai Mosi. Kesi hiyo itaanza Alhamisi,Agosti 12.
Hawa ndiyo wanaharakati wanaotakiwa wapo kwa ajilii ya maslahi ya taifa.
Alaa Salah, shangazi mwenye umri ya miaka 22 aliongoza wananchi Sudan kusimamia Haki;
Alaa Salah, alikuwa mstari wa mbele kupinga utawala wa kidikteta wa Omar Al-Bashir hadi ulipoanguka. Tanzania tunanogeshana kwa Space huku wamekaa kwenye sofa majumbani wanakunywa wisk t
Safi kanisa. Charles Odero aende na kazi ya mwanaharakati wa Kenya - Okiya Omtatah. Hugo jamaa amesaidia sana kupinga udhalimu wa serikali kupitia mahakama.Hv ile kesi ilofunguliwaga na jamaa mmoja hv (nmesahau jna lake) ilikuwa inahusiana na mitandao ya simu,,,ile kesi iliishia wapi?