Chasambi akataa milioni sita Yanga, asaini Msimbazi kwa milioni 2

Amefanya jambo zuri tu. Pale simba wachezaji wengi ni vibabu. Kwa hiyo ni rahisi kwake kufikiriwa. Yanga ilipofikia kwa sasa, inahitaji mchezaji mwenye kipaji kikubwa zaidi ya hicho cha kwake.
 
Wakumbusheeenawaleeewalioibiwaaa Airport wapemrejeshooo
 
Si umnukuu pia ulipoitoa hii habari ...maana haujaacha hata herufi moja...
 
Mchezaji mwenyewe malengo hawezi poteza muda wake Yanga aisee.
 
Hamna mchezaji wa kibongo anaye kataa mil 6,huo uongo ukiniambia timing na kuelewa ila wachezaji wa kibongo walivyokuwa na njaa hamna chipukizi wa kukataa mil 6.Halafu chupukizi wengi ktk timu hizi kubwa hamna anaye vuka mil 3,huyo kapteni Boko anavuta saba na mkongwe.

Hii chai ukiniambia Yanga alizidiwa timing na kuelewa.
 
Mwenyewe nimeshangaa sana mtu anawezaje kukataa mil 6 kisa benchi wakati yeye bado n dogo Tu anayejitafuta....

Maana hata Huko Simba Hana nafasi ya uhakika lazima apambane kupata nafasi
Halafu akija Mkongoman akasajiliwa kwa mshahara wa 15m na awe anasugua bila kucheza. Dogo atarudi kwenye hadithi ya Ugali na Sukari. Kwa nini wachezaji wetu hawatumii Mawakala wa Mpira wenye uzoefu na masuala ya negotiation?
 
Jamaa habari zake amekuwa anapongwa sana mara afute, mara aedit... Achague kuwa Pundit ama Agent yaishe... Alikuwa anampost yule mtoto wake tipwatipwa kama Mimi eti atoboe ..atoboe aende wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mhaya ana tamaa yule pundit yeye ,uwakala yeye
 
Huyu ni kolo anajifariji tu.Mchezaji atoke mtihwa u20 msimu mmoja ambao hata nusu haijafika Yanga impe 6m Kila mwezi.
 

Nafasi ya kucheza kwa Simba isiyo na rotation
Sababu itakuwa ni mshahara mkubwa wa simba vice versa is true
 
Uamuzi wowote saa nyingine hauwezi kuwa sahihi Kwa kila mtu. Hata mapenzi Kwa timu Fulani nayo siyo ya kuyapuuza pia. Hata ulaya ambako ndo reference yetu Kuna wakati mchezaji anakuwa tayari hata mshahara upungue Ili mradi tu akacheze timu anayoitaka Kwa sababu zake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…