Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakumbusheeenawaleeewalioibiwaaa Airport wapemrejeshoooNyota wa klabu ya Mtibwa Sugar Ladack Chasambi amesajiliwa na kikosi cha Simba kwa dau la million 70 na mshahara wa Million mbili [2] kila mwezi kwa miaka mitatu [3].
Chasambi imeitupilia mbali ofa ya Yanga ambayo ilikuwa na dau la usajili la Million 70 na mshahara wa Million sita [6] kwa mwezi, sababu kubwa ya kuitosa Yanga ni ufinyu wa nafasi ya kucheza kwenye kikosi hicho tofauti na Simba inayojitafuta.
Mbali na ofa Yanga ambayo aliipiga chini, ofa nyingine ilikuwa inatoka Azam FC mahali ambapo hakufikiria mara mbili kutokana na dau lao kuwa dogo, lakini pia klabu ya AS Vita ilikuwa inaihitaji saini yake.
Ladack ni miongoni mwa nyota wawili [2] ambao usajili wao umekamilika ndani ya klabu ya Simba kati ya sita [6] ambao wanatarajiwa kusajiliwa na klabu hiyo kwenye dirisha hili dogo la usajili la mwezi January.
Chasambi atakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kitakachoshiriki michuano ya mapinduzi yanayotarajiwa kuanza kurindima mwezi December.
Si umnukuu pia ulipoitoa hii habari ...maana haujaacha hata herufi moja...Nyota wa klabu ya Mtibwa Sugar Ladack Chasambi amesajiliwa na kikosi cha Simba kwa dau la million 70 na mshahara wa Million mbili [2] kila mwezi kwa miaka mitatu [3].
Chasambi imeitupilia mbali ofa ya Yanga ambayo ilikuwa na dau la usajili la Million 70 na mshahara wa Million sita [6] kwa mwezi, sababu kubwa ya kuitosa Yanga ni ufinyu wa nafasi ya kucheza kwenye kikosi hicho tofauti na Simba inayojitafuta.
Mbali na ofa Yanga ambayo aliipiga chini, ofa nyingine ilikuwa inatoka Azam FC mahali ambapo hakufikiria mara mbili kutokana na dau lao kuwa dogo, lakini pia klabu ya AS Vita ilikuwa inaihitaji saini yake.
Ladack ni miongoni mwa nyota wawili [2] ambao usajili wao umekamilika ndani ya klabu ya Simba kati ya sita [6] ambao wanatarajiwa kusajiliwa na klabu hiyo kwenye dirisha hili dogo la usajili la mwezi January.
Chasambi atakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kitakachoshiriki michuano ya mapinduzi yanayotarajiwa kuanza kurindima mwezi December.
Kaitoa Kwa Shaffii ...kama ilivyo japo Shaffii naye baada ya kushambuliwa kaedit....Chanzo cha taarifa yako ni uwongo mtupu
Wametoa Kwa yule jamaa muongo muongo...ShaffiiJe hicho chanzo kingine nacho ni cha kweli ?
Kule Facebook mnadanganywa sana na ndiko wajinga wamejaa
Hahahahaha,shafii ndio deal zake hizi siku hz za uwakala ila nae janja janja tuWametoa Kwa yule jamaa muongo muongo...Shaffii
Jamaa habari zake amekuwa anapongwa sana mara afute, mara aedit... Achague kuwa Pundit ama Agent yaishe... Alikuwa anampost yule mtoto wake tipwatipwa kama Mimi eti atoboe ..atoboe aende wapi 😂😂😂Hahahahaha,shafii ndio deal zake hizi siku hz za uwakala ila nae janja janja tu
Halafu akija Mkongoman akasajiliwa kwa mshahara wa 15m na awe anasugua bila kucheza. Dogo atarudi kwenye hadithi ya Ugali na Sukari. Kwa nini wachezaji wetu hawatumii Mawakala wa Mpira wenye uzoefu na masuala ya negotiation?Mwenyewe nimeshangaa sana mtu anawezaje kukataa mil 6 kisa benchi wakati yeye bado n dogo Tu anayejitafuta....
Maana hata Huko Simba Hana nafasi ya uhakika lazima apambane kupata nafasi
Mhaya ana tamaa yule pundit yeye ,uwakala yeyeJamaa habari zake amekuwa anapongwa sana mara afute, mara aedit... Achague kuwa Pundit ama Agent yaishe... Alikuwa anampost yule mtoto wake tipwatipwa kama Mimi eti atoboe ..atoboe aende wapi 😂😂😂
Huyu ni kolo anajifariji tu.Mchezaji atoke mtihwa u20 msimu mmoja ambao hata nusu haijafika Yanga impe 6m Kila mwezi.Mbona kama ni chai hivi, yanga watoe milioni 6 mchezaji ndio kwanza anatoka mtibwa..
Ila angeenda huko huko utopoloni akawa anakunja m 6 kwa mwezi, huku akipambana kupenya kikosi cha kwanza,
Hata simba nafasi ni finyu kuna wachezaji kibao wanasugua.
Angetoa sababu za kimichezo, mfano labda simba wamemuonesha anavyohitajika, labda kocha ndio kamtaka kampa plans zake, kamuhakikishia namba na vile atakavyotumika. La sivyo hata simba akifanya ujinga atasugua.
Nyota wa klabu ya Mtibwa Sugar Ladack Chasambi amesajiliwa na kikosi cha Simba kwa dau la million 70 na mshahara wa Million mbili [2] kila mwezi kwa miaka mitatu [3].
Chasambi imeitupilia mbali ofa ya Yanga ambayo ilikuwa na dau la usajili la Million 70 na mshahara wa Million sita [6] kwa mwezi, sababu kubwa ya kuitosa Yanga ni ufinyu wa nafasi ya kucheza kwenye kikosi hicho tofauti na Simba inayojitafuta.
Mbali na ofa Yanga ambayo aliipiga chini, ofa nyingine ilikuwa inatoka Azam FC mahali ambapo hakufikiria mara mbili kutokana na dau lao kuwa dogo, lakini pia klabu ya AS Vita ilikuwa inaihitaji saini yake.
Ladack ni miongoni mwa nyota wawili [2] ambao usajili wao umekamilika ndani ya klabu ya Simba kati ya sita [6] ambao wanatarajiwa kusajiliwa na klabu hiyo kwenye dirisha hili dogo la usajili la mwezi January.
Chasambi atakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kitakachoshiriki michuano ya mapinduzi yanayotarajiwa kuanza kurindima mwezi December.
Sababu ni ipi funguka. Kama ni kuikataa uto, mbona akina Nkane, Ngushi waliikubali uto na bado mambo magumu.Mnajiuliza why wachezaji wetu wa kibongo hawafanikiwi
Sababu ndio kama hii
Uamuzi wowote saa nyingine hauwezi kuwa sahihi Kwa kila mtu. Hata mapenzi Kwa timu Fulani nayo siyo ya kuyapuuza pia. Hata ulaya ambako ndo reference yetu Kuna wakati mchezaji anakuwa tayari hata mshahara upungue Ili mradi tu akacheze timu anayoitaka Kwa sababu zake mwenyewe.Na vipi kama maamuzi ambayo kachukua yakawa sahihi..Bado utakuwa na dout mkuu??
Mpira ni maisha, na yeye kaamua kuchukua maamuzi Kama sehemu ya maamuzi katika maisha yake, huenda akawa amepatia au amekosea tuache muda uongee
Pia hata yeye nafikiri kabla ya kufanya maamuzi hayo alifikiri na kuja na maamuzi aliyochagua, pia tusiangalie kwa Simba na Yanga vipi kuhusu Azam au as Vita??? .....mkuu tuache muda uongee Alafu tujeku judge baadae