Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

Yaah kwasababu we ni Mbu mbu Mbu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Lkn chasambi ndo kamchokoza

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Manara na Simba .....nani ana followers wengi mitandaoni [emoji23][emoji23][emoji23]

Manara ni mkubwa Kwa Simba

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Heee ww kumbe hamnazo aisee halafu huna unalolijua yani Manara ameizidi Simba Followers...yani ukiingia muda huu mtandao wowote utakuta manara ameizidi simba followers? Hivi huko utopoloni kweli huwa mna reason kabla ya kuropoka...
Simba anaelekea followers milion 7 insta...
Manara anawazidi nyie utopolo followers...
Shame on you...
Kaa huko Tukuyu uuze maparachichi ya mjini huyajui...
 
Aanze kwanza dulla makabila
 
Labani og ni zuzu..
..anawa aibisha wenye akili utopoloni
Manara aliekua analia kwny simu anamlilia Barbra kwanini hampendi..et kuwa anaipenda Simba ila Barbra ndo anamfanya aondoke...analia viongozi wamemkaushia hakuna wa kumtetea ndo manara ambae kwa sasa utopoloni wanamuona mzee wa kismati yani wanaona akiwepo ndo mafanikio yao..
Manara ambae ana video kibaoo za kuwakashfu utopolo yani kibaoo..
Huyu mwaisa anataka tuone huruma kisa kaitwa mzungu...
 
Hapana mkuu...mtu hawezi kuwa mkubwa Kwa nchi

Ila mtu (manara) anaweza kuwa mkubwa Kwa taasisi (simba

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapana Kwa Simba sio mkubwa ila Kwa yanga ni mkubwa ndo maana walitoswa yanga lialia na wakapuuzwa mashabiki oyaoya wa yanga ili tu manara aje yanga licha ya kuwatukana na kuitukana brand ya yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…