Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
KITENDO SI CHA KIUNGWANA

Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.

Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.

Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu

@sanitizerrtz

Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.

1739431621943.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Afu mbna kumuita Mzungu kampa heshima na hype, ilitakiwa amuite "Takadini"

Hilo Li Sope mbna lenyewe linawacharuaga wenzie, mxxxiiieeew.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kumtania mtu kutumia ulemavu wake ambao sio uchaguzi au kupenda kwake, sio poa
Kwani akisema Manara atapungukiwa Nini?
 
KITENDO SI CHA KIUNGWANA
.
Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" Akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile

Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living Legend kwenye upande wa Habari Simba , Anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba

Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu

@sanitizerrtz

Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni View attachment 3235073

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Chasambi ana haki yake pia ya kuumia au kufurahi. Manara anapaswa kujiheshimu yule dogo bado anasafari ndefu ya maisha, Manara ameshamaliza zamu yake aache shobo. Lakini pia Chasambi kumtaja mzungu haimaanishi kamtaja Manara
 
Manara ni shabiki sio mchezaji
Yeye atashabia tu
Chasambi Bado kijana yeye acheze mpira, ajibu watu Kwa kazi yake.
Kutumia ulemavu wa mtu kumkejeli sio jambo zuri
 
KITENDO SI CHA KIUNGWANA
.
Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" Akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile

Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living Legend kwenye upande wa Habari Simba , Anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba

Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu

@sanitizerrtz

Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni View attachment 3235073

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kimsingi, mleta mada ndiye anayemuita manara kuwa ni mzungu. Yaani kama suala ni kashfa, basi mleta mada ndie anayemkashfu manara. Chasambi anawajibika kwa alichokisema na sio kwa namna alichokisema kinavyotafsiriwa.

Siku nyingine Acha vingine vipite kimyakimya, usichochee. Hapa wewe ndio unasambaza habari kwa ambao hawakuisikia awali iliposemwa na Chasambi (kama ni kweli alisema). Mbaya zaidi wewe umeenda mbele kwa kutoa tafsiri yako kuhusiana na kauli ya Chasambi.
 
Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living Legend kwenye upande wa Habari Simba , Anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba

Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu

@sanitizerrtz

Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni View attachment 3235073

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Manara aliondoka Simba na kutufanyia fitina Sana, alitegemea angeweza kuiua Simba, ametuhujumu Sana mjinga Yule, kwani alichokuwa anashabikia Chasambi kujifunga NI nini! Achaneni kumtetea huyo ameyataka mwenyewe.
Kwa iyo yeye kukebehi NI rukhsa! Ila wengine kumjibu kebehi zake NI dhambi! Ulemavu wa ngozi usiwe NI fimbo ya kutandikia wengine! Atachambwa Tu! Na wala si Kwa ulemavu wake Bali Kwa tabia zake za kutaka sofa!
 
Msamaha wa nini mbona hapa mtaani kuna jamaa kafanana na huyo haji na ni albino pia tunamuita "Zungu" yeye mwenyewe anaona fresh kabisa toka kitambo, wengi hata hatujui jina lake halisi.
 
Back
Top Bottom