Una chura kama yupo njoo PMWanazengo Leo najisikia tu kuchat na nyie humu , niulizeni maswali yote Ila mambo ya jinsia niachieni mwenyewe, nambie tu kipi unakipenda kutoka kwangu? Na thread gan ambayo uliipenda kutoka kwangu na kwa nini , kitu gani unapenda nibadilishe au niongeze, Ila Leo sijakaa kimbea mbea jaman, nipo tu na akili zangu timamu so msinitibue wanazengo.
Haya karibuni ulingoni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilikuwa naomba uoane na Hance mtanashati ili muzae muendeleze ukoo wa wambeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshawahi ku tiwa na wanaume wangapi toka umekuwa?Wanazengo Leo najisikia tu kuchat na nyie humu , niulizeni maswali yote Ila mambo ya jinsia niachieni mwenyewe, nambie tu kipi unakipenda kutoka kwangu? Na thread gan ambayo uliipenda kutoka kwangu na kwa nini , kitu gani unapenda nibadilishe au niongeze, Ila Leo sijakaa kimbea mbea jaman, nipo tu na akili zangu timamu so msinitibue wanazengo.
Haya karibuni ulingoni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wameeenda wapi hawa watu?...umemsahau nifahMy binamu,nakupenda mnoo..toka enzi zile tunatukanwaaa!!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]na matola kisa umbea!!!nammis,HOE,Heaven Sent,Tatiana,ladykims,dinazarde,Queen of Sheba,mrembo by nature n.k!!!
Alikua akichambwa Wema enzi zile [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]sisahau siku ile Lara peke yake sisi kama wote tunamchamba mange yeye anamtetea!!!Eeh Mungu wee!siku hizi nakaa siku nzima sijaingia jf...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mkuu?Nimependa zaidi hapo kwenye umaliziaji...[emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16]...duuuh mkuu hausahau?Dahhhhh.....
Nimekumbuka siku zileee wakati penye nilikua karibu zaidi na wewe...[emoji4][emoji4]