warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Wanazengo Leo najisikia tu kuchat na nyie humu , niulizeni maswali yote Ila mambo ya jinsia niachieni mwenyewe, nambie tu kipi unakipenda kutoka kwangu? Na thread gan ambayo uliipenda kutoka kwangu na kwa nini , kitu gani unapenda nibadilishe au niongeze, Ila Leo sijakaa kimbea mbea jaman, nipo tu na akili zangu timamu so msinitibue wanazengo.
Haya karibuni ulingoni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haya karibuni ulingoni
Sent from my iPhone using JamiiForums