hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,772
- 15,651
Inategemea na uzito wa kazi unayoipa na unavyoikomandi.Gemini hana akili nyingi
Japo inajitahidi kwa uwezo wake.
Inategemea na uzito wa kazi unayoipa na unavyoikomandi.Gemini hana akili nyingi
Ila nilitumia kitambo mwaka jana mwezi 1, hadi leo sijajaribu tenaInategemea na uzito wa kazi unayoipa na unavyoikomandi.
Japo inajitahidi kwa uwezo wake.
Hiko vizuri insatiable kwa kiasi chake japo ina mapungufu.Ila nilitumia kitambo mwaka jana mwezi 1, hadi leo sijajaribu tena
Ngoja ntajaribuHiko vizuri insatiable kwa kiasi chake japo ina mapungufu.
Itumie tu haina shida.Ngoja ntajaribu
🤝🤝🤝💯Itumie tu haina shida.
Grok anasema nini hapo kwenye mpishi wa ikuluWewe km unataka majibu yaliyoshiba kamuulize grok kule X 😹😹
Yule mwehu anachekesha hacheki na yoyote..!!
Huyo robot kuna majibu hua hatoi km huamini mwambie akutajie jina la mpishi wa ikulu