ChatGP: Kwa nini CCM wanataka sana CHADEMA washiriki uchaguzi?

Inategemea na uzito wa kazi unayoipa na unavyoikomandi.

Japo inajitahidi kwa uwezo wake.
Ila nilitumia kitambo mwaka jana mwezi 1, hadi leo sijajaribu tena
 
Wewe km unataka majibu yaliyoshiba kamuulize grok kule X 😹😹

Yule mwehu anachekesha hacheki na yoyote..!!
Grok anasema nini hapo kwenye mpishi wa ikulu
 
CCM kwakujisahaulisha hawajambo

Wanesahau kazi walioifanya mpaka kuwingiza kwanguvu bungeni COVID 19

Ujinga mtupu chama hakina watu wenyekuona mbali
 
Ikiwa unatafuta mtu maalum aitwaye "zerominus01," tafadhali toa maelezo zaidi ili niweze kukusaidia kwa usahihi zaidi.
Huyo robot kuna majibu hua hatoi km huamini mwambie akutajie jina la mpishi wa ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…