ChatGPT imekuja kivingine kabisa, sasa unaweza kuiambia ichore picha yote yakifanyika kwa kutumia bando lako la simu

ChatGPT imekuja kivingine kabisa, sasa unaweza kuiambia ichore picha yote yakifanyika kwa kutumia bando lako la simu

MBYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2020
Posts
366
Reaction score
521
1738254227720.jpeg

Mimi ni mtumiaji wa ChatGPT toleo la bure, ingawa akili mnemba nyingi zina uwezo wa kuchora picha lakini hii Chat GPT toleo la Bure ilikuwa haiwezi kuchora lakini naona kutokana na ushindani wa machina na toleo lake la AI Deepseek wamarekani wameiwaezesha hii toleo la bure kuchora kuedit n k.

Unachotakiwa kufanya ni kuipa tu maelekezo kile utakacho.

Wamarekani ni watu na nusu.
 
Sasa ugunduzi upi huo maana yake ni outdated hao wanaogundua watumie chartgpt kuongeza ubunifu wao.
Kuna tofauti kati ya innovation na Discoveries kijana

ChatGPT inarahisisha mambo mengi(ni jambo zuri) lakini inawafanya watu kuwa wavivu wa kufikiri na kutafuta njia mbadala wa kutatua changamoto duniani, ni kama Robotics na uzalishaji wa Robots
Hii si kwa TZ tu ni kwa US, UK na kwingineko
 
Mimi ni mtumiaji WA chat GPT toleo la bure, ingawa akili mnemba nyingi zina uwezo wa kuchora picha lakini hii Chat GPT toleo la Bure ilikuwa haiwezi kuchora lakini naona kutokana na ushindani wa machina na toleo lake la AI Deepseek wamarekani wameiwaezesha hii toleo la bure kuchora kuedit n k.

Unachotakiwa kufanya ni kuipa tu maelekezo kile utakacho.

Wamarekani ni watu na nusu.
Tupe procedures nasi tujaribu
 
Unasemea mmarekani? Unajua kitu cha mchina kinaitwa DEEPSEEK? Mpaka truml kakikubali alafu wewe unaona chartgpt noma! Uko nyuma sana mkuu!
 
Back
Top Bottom