Lakini mbona Bing image generator imeanza kufanya hiki kitu kitambo.
Mimi ni mtumiaji WA chat GPT toleo la bure, ingawa akili mnemba nyingi zina uwezo wa kuchora picha lakini hii Chat GPT toleo la Bure ilikuwa haiwezi kuchora lakini naona kutokana na ushindani wa machina na toleo lake la AI Deepseek wamarekani wameiwaezesha hii toleo la bure kuchora kuedit n k.
Unachotakiwa kufanya ni kuipa tu maelekezo kile utakacho.
Wamarekani ni watu na nusu.
Balaa la chagpt hujaliona mkuu, kuna ile inagenerate video kwa maelezo sema haijawareleased kwa public niliona kwa mkbh ni balaa moja na nusu.