ChatGPT imekuja kivingine kabisa, sasa unaweza kuiambia ichore picha yote yakifanyika kwa kutumia bando lako la simu

ChatGPT imekuja kivingine kabisa, sasa unaweza kuiambia ichore picha yote yakifanyika kwa kutumia bando lako la simu

Asante nimetumia hii lakini haina hiyo huduma ya kuchora
Chat GPT Free Edition ina uwezo wa kuchora picha ila ina limitation ya picha 2 tu kwa siku na sio zaidi ya hapo .. jaribu pia Grok AI hii inachora picha bila kikomo inapatikana kwenye Apps ya X (zamani twitter) inajibu maswali vizuri kwa kiwango..
 
Asante sana Mkuu
 
Hata chat GPT ni yakwake, iko chini ya Open AI
Code:
Kuhusu ChatGPT, ni kweli kwamba Elon Musk alikuwa mmoja wa waanzilishi wa OpenAI mwaka 2015, 

lakini aliondoka kwenye bodi ya kampuni hiyo mwaka 2018. 

Tangu wakati huo, OpenAI imeendelea kujitegemea na kuzindua ChatGPT mwaka 2022
 
Ndio ukweli wenyewe..
 
Kwa msaada save hii namba 18002428478 ambayo unaweza kuitumia badala ya app. Hii unaitumia whatsapp pekee.
WhatsApps Wana AI yao inaitwa Meta AI ila haijaanza kutumika Global ipo baadhi ya nchi duniani hapo kwa majirani zetu Kenya inatumika huenda mwaka huu ikatumika kote hiyo ya namba uliyoitaja nayo ina limit ya maswali ya kuuliza kwa siku.
 
Lakini mbona Bing image generator imeanza kufanya hiki kitu kitambo.
Balaa la chagpt hujaliona mkuu, kuna ile inagenerate video kwa maelezo sema haijawareleased kwa public niliona kwa mkbh ni balaa moja na nusu.
Ile inaitwa SORA, ni subpart ya chatgpt. Kwa sasa inaweza generate clip fupi za movie
 
Unasemea mmarekani? Unajua kitu cha mchina kinaitwa DEEPSEEK? Mpaka truml kakikubali alafu wewe unaona chartgpt noma! Uko nyuma sana mkuu!
Watu wametumia pesa kufanya research na kutengeneza software.
Mchina katoka huko, kacopy na kupaste
Kama mzungu hakutengeneza AI, unafikiri mchina angekuja na Deepseek?
 
Back
Top Bottom