Alaa!..Ina zaidi ya miezi mitatu hiyo
ChatGPT inaua Ubunifu na Ugunduzi wa binadamu wa sikuhizi
Sasa ugunduzi upi huo maana yake ni outdated hao wanaogundua watumie chartgpt kuongeza ubunifu wao.ChatGPT inaua Ubunifu na Ugunduzi wa binadamu wa sasa
Inauaje ubunifu wa kibongobongo?Kibongobongo AI kuua ajira za watu bado sana...
Kuna tofauti kati ya innovation na Discoveries kijanaSasa ugunduzi upi huo maana yake ni outdated hao wanaogundua watumie chartgpt kuongeza ubunifu wao.
Tupe procedures nasi tujaribu
Mimi ni mtumiaji WA chat GPT toleo la bure, ingawa akili mnemba nyingi zina uwezo wa kuchora picha lakini hii Chat GPT toleo la Bure ilikuwa haiwezi kuchora lakini naona kutokana na ushindani wa machina na toleo lake la AI Deepseek wamarekani wameiwaezesha hii toleo la bure kuchora kuedit n k.
Unachotakiwa kufanya ni kuipa tu maelekezo kile utakacho.
Wamarekani ni watu na nusu.
Tupe procedures nasi tujaribu
Nimepakua ziko nyingi ila sijaona inayonifaaPakua tu app Chat GPT Kisha uambie uanchotaka
Bado mkuu ipo play store?Grok ya Elon umeijaribu ?
Unasemea mmarekani? Unajua kitu cha mchina kinaitwa DEEPSEEK? Mpaka truml kakikubali alafu wewe unaona chartgpt noma! Uko nyuma sana mkuu!
Mimi ni mtumiaji WA chat GPT toleo la bure, ingawa akili mnemba nyingi zina uwezo wa kuchora picha lakini hii Chat GPT toleo la Bure ilikuwa haiwezi kuchora lakini naona kutokana na ushindani wa machina na toleo lake la AI Deepseek wamarekani wameiwaezesha hii toleo la bure kuchora kuedit n k.
Unachotakiwa kufanya ni kuipa tu maelekezo kile utakacho.
Wamarekani ni watu na nusu.
Nimepakua ziko nyingi ila sijaona inayonifaa
Naomba version uliyonayoKabla ya kupakua soma maoni ya watumiaji zingine ni feki