Lakini mbona Bing image generator imeanza kufanya hiki kitu kitambo.
Mimi ni mtumiaji WA chat GPT toleo la bure, ingawa akili mnemba nyingi zina uwezo wa kuchora picha lakini hii Chat GPT toleo la Bure ilikuwa haiwezi kuchora lakini naona kutokana na ushindani wa machina na toleo lake la AI Deepseek wamarekani wameiwaezesha hii toleo la bure kuchora kuedit n k.
Unachotakiwa kufanya ni kuipa tu maelekezo kile utakacho.
Wamarekani ni watu na nusu.
Nisaidie ni app gan niipakueHuyu anakufundisha lugha karibu zote na anauwezo kutafsiri pia
Kazi km za secretarial nk zitaathirika haraka sanaKibongobongo AI kuua ajira za watu bado sana...
Nenda play store tafuta Chat GPT zitakuja kadhaa chagua yenye 4.7 star na 7m revie na ukubwa wa mb 24Nisaidie ni app gan niipakue
Ndiyo hiyo ni proLakini mbona Bing image generator imeanza kufanya hiki kitu kitambo.
Balaa la chagpt hujaliona mkuu, kuna ile inagenerate video kwa maelezo sema haijawareleased kwa public niliona kwa mkbh ni balaa moja na nusu.
Nazidi kuomba msaada nitumie icon yake maana sioni yenye hizo properties
Natumia kila siku hili toleo la Bure Haina hiyo huduma mpaka Jana ndo wameweka labda unazungumzia toleo lingineIna zaidi ya miezi mitatu hiyo
Hapo kweli AI lazima ipeleeInauaje ubunifu wa kibongobongo?
View attachment 3218906
Wapo mbioni kuletwaHivi Elon aliishia wapi kuwatengenezea wanawake wasioomba pesa?!
Pole.Natumia kila siku hili toleo la Bure Haina hiyo huduma mpaka Jana ndo wameweka labda unazungumzia toleo lingine
Asante nimetumia hii lakini haina hiyo huduma ya kuchoraNatumia kila siku hili toleo la Bure Haina hiyo huduma mpaka Jana ndo wameweka labda unazungumzia toleo lingine
Sijui kama ni yenyewe maana inahuo uwezo tatizo play store zipo nyingi fakeAsante nimetumia hii lakini haina hiyo huduma ya kuchora
Ok basi naona wana bonas kwa baadhi ya watumiajiPoe.
mimi naiongelea hiyohiyo, tena ilianza Germini kupitia huduma ya kulipia, ikafuata ChatGPT wao ni bila kulipia lakini kwa limitatin. Mimi mara huwa napata mabadiliko immediately wanapofanya updates.
Hata chat GPT ni yakwake, iko chini ya Open AIGrok ya Elon umeijaribu ?
Zipo app nyingi zinauwezo huo ila ni za kulipiaMbona Gemini ya google inafanya hivyo muda mrefu sasa au mi ndo sijaelewa
OkHata chat GPT ni yakwake, iko chini ya Open AI
Oh huenda ndiyo sababuSijui kama ni yenyewe maana inahuo uwezo tatizo play store zipo nyingi fake
Oh huenda ndiyo sababu
Kwa msaada save hii namba 18002428478 ambayo unaweza kuitumia badala ya app. Hii unaitumia whatsapp pekee.Oh huenda ndiyo sababu