ChatGPT imetimiza unabii uliotolewa takriban miaka 2500 iliyopita!!

Haya mambo ya siku za mwisho ni hadithi za kutungwa na wahuni fulani
Biblia sio hadithi za kutungwa. Biblia ina Neno la Mungu. Neno la Mungu linaokoa majambazi na wote wanaotubu. Neno la Mungu linafukuza mashetani na wachawi. Linaponya wagonjwa nk nk nk
 
Si tulikubaliana hakuna jipya chini ya jua, kwamba yote yalikuepo? Haya sasa akili mnemba ilikuepo miaka mingapi iliyopita?
 
Kila chenye mwanzo kina mwisho. Mungu amekufunulia hayo ili ujue huu ni wakati wa mwisho. Usifikiri mambo yataendelea hivihivi endlessly.
 
Si tulikubaliana hakuna jipya chini ya jua, kwamba yote yalikuepo? Haya sasa akili mnemba ilikuepo miaka mingapi iliyopita?
 
Si tulikubaliana hakuna jipya chini ya jua, kwamba yote yalikuepo? Haya sasa akili mnemba ilikuepo miaka mingapi iliyopita?
Tulikubaliana lini? Nikumbushe
 
ChatGPT ni kitu kidogo sana kwenye ulimwengu
Hii ni thread ya mtu asiyetumia technologia kwa ukawaida
 
Ni watu au farasi au ndege waliozungumziwa hapo kwenye utabiri?
Usijiaibishe. Wewe ni great thinker. Maarifa yameongezeka kwenye nyanja nyingi pamoja na usafiri wa magari na ndege
 
Biashara ya internet cafe ilikufa kabisa na sheria mbaya ya Posta na simu na Ile ya makosa ya mitandaoni iliyo tiwa saini na Magufuli.
Inayo lazimisha mashariti magumu ikiwemo kufungwa camera kwenye. Cafe ili aonekane kila mtumiaji.
Na ada/Kodi kubwa za kulipia hizo huduma.
Watu wakaona bora wanunue smart phones tu.
 
Maarifa yataongezeka ni too general statement. Hata leo mimi najua miaka 10 ijayo maarifa yatakuwa yameongezeka kuliko sasa. Hakuna unabii hapo. Ni fact
 
Kuwa mtoto wa Mungu hakufanyiki mara moja chief. Ni kuendelea kuyaish maagizo ya Mungu. Kubatizwa tu hakukupi uhakika wa kufika mbinguni ni lazima uzae matunda yanayoendana na kuzaliwa kwako. So punguza kiburi cha kujiona umefika shetan bado yupo na tunaish dunian bado. Wokovu ni wa kila siku sio mara moja tu. Ndio maana nimekuambia nikikuangaliq kwa haraka umepungukiwa kiburi kimekuzid
 
Maarifa yataongezeka ni too general statement. Hata leo mimi najua miaka 10 ijayo maarifa yatakuwa yameongezeka kuliko sasa. Hakuna unabii hapo. Ni fact
Duh, wewe unajua yatakayotokea miaka 10 ijayo? Yatakayotokea kesho tu huyajui sembuse 10 years.
 
Unapingana na Maandiko? Hayo unayosema yameandikwa wapi? Wewe unaonekana huna uhakika kama umeokoka au la. Mimi nina uhakika.

Kutii maagizo ni hatua ya pili baada ya mtu kufanyika mtoto wa Mungu.
 
Unapingana na Maandiko? Hayo unayosema yameandikwa wapi? Wewe unaonekana huna uhakika kama umeokoka au la. Mimi nina uhakika.

Kutii maagizo ni hatua ya pili baada ya mtu kufanyika mtoto wa Mungu.
Hata shetan alikuwa mtoto wa Mungu lakin matokeo yake. Punguza kibur kusema tu umeokoka haimaanishi umeokoka. Maneno yako na matendo yako tu yanatuonyesha we ninani.
 
Hata shetan alikuwa mtoto wa Mungu lakin matokeo yake. Punguza kibur kusema tu umeokoka haimaanishi umeokoka. Maneno yako na matendo yako tu yanatuonyesha we ninani.
Usichanganye masomo rafiki. Shetani hakuwa shetani tangu mwanzo. Kabla hajawa shetani alikuwa malaika mkamilifu. Kiburi kiliingia baadaye.
 
Usichanganye masomo rafiki. Shetani hakuwa shetani tangu mwanzo. Kabla hajawa shetani alikuwa malaika mkamilifu. Kiburi kiliingia baadaye.
Ndio nakuambia na wewe pia unaweza kuwa uliokoka vizur lakin kibur kwasasa ndio kimekujaa. Usisahau maandiko yanabaki kuwa maandiko tu mpaka pale anaefafanua atakapotoa maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…