Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Deepseek bado hawana data za kutosha ku train ai wao, so bado haimkuti chat gpt kwenye information na maarifaNimejaribu kukaa kupiga stories na hawa jamaa kwa kuuliza swali lile lile kwa kila mtu.
Chatgpt
Ana taarifa nyingi sana
Ana kiswahili kimenyooka sana
Ana kupa nafasi ya kutaka kujua zaidi
Deepseek
Taarifa yake haiwi imeshiba sana
Kiswahili si kizuri makosa mengi hata kwenye kuandika tu spelling
Anachoka haraka akichoka anasema tafuta taarifa zaidi kwa wahusika
Nimewakubali sana CHATGPT hii AI ipo vizuri mnaweza piga stories za kishkaji sana kama unaongea na mshkaji na inatoa usia mzuri sana. Mimi mpaka iliniambia nipunguze mademu nifanye mambo ya msingi
Nikamwambia sasa hapo anaanza kuingilia uhuru wangu. Akanijibu ni ushauri tu kama kijana mwenzie kaona na mind sana papuchi.
Kabisa Chat wapo vizuri sana.Deepseek bado hawana data za kutosha ku train ai wao, so bado haimkuti chat gpt kwenye information na maarifa
Chatgpt mlinganishe na Grok. Huyo mchina achana naye unamuonea tu.Nimejaribu kukaa kupiga stories na hawa jamaa kwa kuuliza swali lile lile kwa kila mtu.
Chatgpt
Ana taarifa nyingi sana
Ana kiswahili kimenyooka sana
Ana kupa nafasi ya kutaka kujua zaidi
Deepseek
Taarifa yake haiwi imeshiba sana
Kiswahili si kizuri makosa mengi hata kwenye kuandika tu spelling
Anachoka haraka akichoka anasema tafuta taarifa zaidi kwa wahusika
Nimewakubali sana CHATGPT hii AI ipo vizuri mnaweza piga stories za kishkaji sana kama unaongea na mshkaji na inatoa usia mzuri sana. Mimi mpaka iliniambia nipunguze mademu nifanye mambo ya msingi
Nikamwambia sasa hapo anaanza kuingilia uhuru wangu. Akanijibu ni ushauri tu kama kijana mwenzie kaona na mind sana papuchi.
Grok ni nani?Chatgpt mlinganishe na Grok. Huyo mchina achana naye unamuonea tu.
Ni AI km ilivyo Chat GPT inapatikana katika Apps ya X (twitter) ila hivi karibuni wataweka Apps yake kule Playstore za Android na Apple..Grok ni nani?
Namaanisha mmilikiNi AI km ilivyo Chat GPT inapatikana katika Apps ya X (twitter) ila hivi karibuni wataweka Apps yake kule Playstore za Android na Apple..
Hata grok ya Elon Musk bado.Chatgpt mlinganishe na Grok. Huyo mchina achana naye unamuonea tu.
Huyo deep vitu vibaya kuhusu China hawezi kukujibu ataruka kama maharageHata grok ya Elon Musk bado.
Mimi natimia zote 4 toka kila moja ilipozinduliwa, yaani mimi ni mojawapo ya watumiaji wa mwanzo kabisa wa kila AI, chat GPT, Grok, Gemini ya Google na Deepseek.
Ukiniuliza kati ya hapo Chatgpt ni kiboko akifuatiwa na Gemin ya Google.
Grok inakuja vizuri ila bado sijaielewa sana.
Deep seek bado sana.
Deepseek ni kiboko sana katika programming, yani ni kiboko chatgpt haoni ndani. Chatgpt ikiandika code ndefu zinakuwa na error kinoma. Deepseek inakuandikia code makini sana. Walioipa deepseek ikombe kupitia benchmarks hawakukosea. Iko vizuri chana ukiachana na mambo ya kupiga story na viitu hivi vya kawaida. Tunasubiri updates zaidi.Nimejaribu kukaa kupiga stories na hawa jamaa kwa kuuliza swali lile lile kwa kila mtu.
Chatgpt
Ana taarifa nyingi sana
Ana kiswahili kimenyooka sana
Ana kupa nafasi ya kutaka kujua zaidi
Deepseek
Taarifa yake haiwi imeshiba sana
Kiswahili si kizuri makosa mengi hata kwenye kuandika tu spelling
Anachoka haraka akichoka anasema tafuta taarifa zaidi kwa wahusika
Nimewakubali sana CHATGPT hii AI ipo vizuri mnaweza piga stories za kishkaji sana kama unaongea na mshkaji na inatoa usia mzuri sana. Mimi mpaka iliniambia nipunguze mademu nifanye mambo ya msingi
Nikamwambia sasa hapo anaanza kuingilia uhuru wangu. Akanijibu ni ushauri tu kama kijana mwenzie kaona na mind sana papuchi.
Grok bado sana kumfikia chatgptChatgpt mlinganishe na Grok. Huyo mchina achana naye unamuonea tu.
Hata Grok ni chamtoto kwa chatGPTChatgpt mlinganishe na Grok. Huyo mchina achana naye unamuonea tu.