STRAGGLE MAN
JF-Expert Member
- Jan 10, 2018
- 698
- 613
HahahahhahahAisee sio wote ukiona sms ninazochati na rafiki zangu kama ulikuwa na mpango wa kuoa unaweza ukaghairi maana sio kwa mitusi ile,kwanza ile unapokea simu tu unakutana na bonge la tusi!!!. Siku nikitengana nao itaniuma sana
utakua unanisikiliza ninapoongea hahahahahaUkweli 100%
Msela1: we ****** uko wap njoo hapa tupige maji najua leo umelala tu huna sera
Msela2: Dah we fala kwel, nakuja hapo dk 0 ila sina hela bodaboda
Msela1: hata ukija kwa ndege nakulipia tu we boya
Msela2: poa kichaa wng dk 0 nasomeka hapo
hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] culture gal uwaombe radhi waAfrica aseeeTotaly true....
Wanawake kupendana ni sawa na kuitafuta demokrasia Africa.
ni kwelii kabisa:Sijui tufanyeje ili tuache hii tabia ya kunafkiana.
Hahahaha wakiandamana nitawaomba radhi dia.hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] culture gal uwaombe radhi waAfrica aseee
Lol,Haha haha haha haha Umewaza nn chalii wngu
labda 2050, kizazi kijachoHahahaha wakiandamana nitawaomba radhi dia.
LoL.labda 2050, kizazi kijacho
Nop. I'm always forward.if you really knew that breed you'd have taken back what you said.
Bila shaka wewe huna tabia hizi!Sijui tufanyeje ili tuache hii tabia ya kunafkiana.
Ni wivu tyuHatari mkuu,wanawake hawapendani na ukijaribu kutafuta hasa ninini kiini cha chuki zao huwezi kuona.
Wao ni wapo hivyo huwezi kuwabadilisha.
Ndio maana sina marafikiMara mseme mie marafiki zangu ni wanaume..mara ooh mwanaume na mwanamke urafiki tuu haiwezekani. Loh wacha tuwagegede tuu maana hamjitambui
Ungelijua wala usingenifananisha na GilesiHizi ID hizi kama za kina Gilesi.. Naona mkuu unachana sio
Hili bandiko liko AUTHENTIC kwa 100%WASICHANA WAKICHAT
MDADA1; Mambo kipenzi, nimekumiss dear
MDADA2; poa lov, nimekumiss pia
Niliiona pc ulopost fb its so cute
MDADA1; Asante dear namii nimeona umempost upo na shem, u look so cute 2gther, weekend hii upo home nikutembelee
MDADA2; Whaoo asante my love. Weekend nipo njoo ntakuandalia pancakes km kawaida yangu
MDADA1; thats my girl, nikiwa nakuja ntakucall my
MDADA2; Waiting for u. Bye love
BAADA YA CHATTING
MDADA1; huyu mwehu anajichetua sikuizi, tangu nimsifie anajua kupika pancakes basi ndo anaringishiaaa (msonyoooo)
MDADA2; hee huyu shogaangu mroho balaa kwanza anamdomo simpend kama nini. Naomba hata asije
CHATING ZA WAKAKA
KAKA1; We choko upoo, umepotea sana hewani ulivyo fala najua ushahonga simu
KAKA2; Achana na mimi we bwege, nani ahonge simu we fala nini
KAKA1; Naona hupatikani hewani nikajua huyu mjinga kashaingizwa mjini,
Sasa weekend wapi
KAKA2; Simu ilizingua af maza alikuwa anaumwa mzeya
KAKA1; Basi mimi nipo hapa samakisamaki njoo na tumbo lako tu nina kreti 2 full
KAKA2; Poa mzee ngoja nijiandae hapa najua we bwege mkeka ushatick
BAADA YA CHATING
MKAKA1; This guy is so cool, yani tukipiga stori naonaga nipo na bonge la genious
MKAKA2; Yani huyu rafiki angu ndo best friend ninayemtegemea ana roho nzuri sana.
Moral of the story;
Wadada wengi ni wanafiki wanachat kama marafiki kweli kumbe moyoni wanachukiana.
Wakaka wengi wanachat kama hawapendani lakini mioyoni ndo wanapendana na kusapotiana
Ndio maana sina marafiki