Chating za wadada vs chating za wakaka

Chating za wadada vs chating za wakaka

That conversation is bullshit...whoever crafted it, just wasted his poor time.
 
Mwanangu text ya kwanza ni "We Boya" Nae hunijibu ww nambie "Snitch yule demu wa jana ulikula vitu??" Boys raha sana.
Raha sana Mkuu! Kuna mwana sasa ni Mh, tunavyowasiliana tunajua wenyewe, New Year hiyo;
"Ama kweli zinasaidia na we bwege umevuka Mwaka!!?"
Mh:"Acha ufala dogo unadhani huwa navaa miguuni!?"[emoji23]
Jamaa ni mtu poa down to earth urafiki umekuwa kama ndugu kabisa!
 
Boys raha kwanza ukienda mkoa wwt km kuna mwana lazima umcheki " we bwege njoo unywe bia mpk uzime" mchizi anakunywa na tax anachukuliwa mpk home
 
Dah nikichat na machalii zangu ni full kutusiana kinoma kama ugomvi kumbe ndo kawaida ya machalii wa kitaa.
**** kitu kinawawezesha
tapatalk_1509547631140.jpeg
 
Mwaka jana mwishoni nilikuwa ndani ya office moja inayohusika na masuala ya insurance katikati ya jiji{sitaitaja hapa wahusika wanaweza kuwepo humu},nikiwa namsubiri jamaa niliyekuwa na appointment nae pale reception walikaa wadada wawili wa kawaida sana wala sio warembo kiviile.

Sasa akaingia mwenzao kajipara balaa haijulikani ana rangi gani hata dress code yake haikuwa rafiki hata kidogo,wakamwita basi mara "eeh jamani umependezaa,hilo gauni umenunua wapi!mwengjne hee wigi lako zuri nani kakubandika mara tena hee kiatu chako shoga kimeonyesha mguu wako ulivyoumbika" blah blah blah blah akaelekea ndani kwenye ofisi yake.

Nilikuja kugutushwa na msonyo alioutoa mmoja wa wale ma receptionist huku akisema "apendeze wapi uso umemkaa kama anaku.nya kinyesi cha mapera mwingine akadakia mguu wenyewe hana anatembea kama anaingia mlango wa leba huku wakigongeshana viganja na kicheko cha dharau.

Picha ilijirudia jinsi yule mwenzao alivyokuwa anafurahi kusifiwa basi niliwaangalia kwa hasira hadi wakanistukia ila mie nikaona poa tu toka siku hiyo nikajua jinsi madem walivyo wanafiki.

Africa labda kama duniani huko ila Africa hakuna mwanamke anaemtakia mwenzie heri zaidi ni kicheko usoni moyoni chuki isiyofichika na ndivyo ilivyo hawatokaa wabadilike ila ni nadra sana wanaume kukaa na kuanza kumsema mwenzao vibaya labda kuhusu anavyovaa etc.
Hahaha apendeze wapi sura imemkomaa kama anakunya kinyesi cha mapera hahahah chaaaa[emoji23]mguu wenyewe hana anatembea kama anaingia mlango wa leba hahaha [emoji23] ila watu wana mambo dunia hii
 
Naona dada yake na fid Q huhitaji marafiki
Hahah sihitaji marafiki,labda badae wakitokea aje mmoja wa kuongea nae na mwingine wa kumuongelea hahaha....

rafiki wa kweli yukoje?ni mkimya au anayechonga,yule aliyekupa jina,au pengine anayekuponda? anayezuia usidondoke au anayesubiria kukuokota?Au ni yule ambaye ukimuudhi anakutusi kabla hajaondoka? hakuna adui mbaya ka rafiki yako mwenyewe ambaye hajui ka yupo nawe....(in fid's voice)
 
Hahaha apendeze wapi sura imemkomaa kama anakunya kinyesi cha mapera hahahah chaaaa[emoji23]mguu wenyewe hana anatembea kama anaingia mlango wa leba hahaha [emoji23] ila watu wana mambo dunia hii
Hatari mkuu,wanawake hawapendani na ukijaribu kutafuta hasa ninini kiini cha chuki zao huwezi kuona.

Wao ni wapo hivyo huwezi kuwabadilisha.
 
Hahah sihitaji marafiki,labda badae wakitokea aje mmoja wa kuongea nae na mwingine wa kumuongelea hahaha....

rafiki wa kweli yukoje?ni mkimya au anayechonga,yule aliyekupa jina,au pengine anayekuponda? anayezuia usidondoke au anayesubiria kukuokota?Au ni yule ambaye ukimuudhi anakutusi kabla hajaondoka? hakuna adui mbaya ka rafiki yako mwenyewe ambaye hajui ka yupo nawe....(in fid's voice)
Hizi ID hizi kama za kina Gilesi.. Naona mkuu unachana sio
 
Back
Top Bottom