Chating za wadada vs chating za wakaka

Chating za wadada vs chating za wakaka

Aisee sio wote ukiona sms ninazochati na rafiki zangu kama ulikuwa na mpango wa kuoa unaweza ukaghairi maana sio kwa mitusi ile,kwanza ile unapokea simu tu unakutana na bonge la tusi!!!. Siku nikitengana nao itaniuma sana
Hahahahhahah
 
Ukweli 100%
Msela1: we ****** uko wap njoo hapa tupige maji najua leo umelala tu huna sera

Msela2: Dah we fala kwel, nakuja hapo dk 0 ila sina hela bodaboda

Msela1: hata ukija kwa ndege nakulipia tu we boya

Msela2: poa kichaa wng dk 0 nasomeka hapo
utakua unanisikiliza ninapoongea hahahahaha
 
WASICHANA WAKICHAT
MDADA1; Mambo kipenzi, nimekumiss dear

MDADA2; poa lov, nimekumiss pia
Niliiona pc ulopost fb its so cute

MDADA1; Asante dear namii nimeona umempost upo na shem, u look so cute 2gther, weekend hii upo home nikutembelee

MDADA2; Whaoo asante my love. Weekend nipo njoo ntakuandalia pancakes km kawaida yangu

MDADA1; thats my girl, nikiwa nakuja ntakucall my

MDADA2; Waiting for u. Bye love

BAADA YA CHATTING
MDADA1; huyu mwehu anajichetua sikuizi, tangu nimsifie anajua kupika pancakes basi ndo anaringishiaaa (msonyoooo)

MDADA2; hee huyu shogaangu mroho balaa kwanza anamdomo simpend kama nini. Naomba hata asije

CHATING ZA WAKAKA
KAKA1; We choko upoo, umepotea sana hewani ulivyo fala najua ushahonga simu

KAKA2; Achana na mimi we bwege, nani ahonge simu we fala nini

KAKA1; Naona hupatikani hewani nikajua huyu mjinga kashaingizwa mjini,
Sasa weekend wapi

KAKA2; Simu ilizingua af maza alikuwa anaumwa mzeya

KAKA1; Basi mimi nipo hapa samakisamaki njoo na tumbo lako tu nina kreti 2 full

KAKA2; Poa mzee ngoja nijiandae hapa najua we bwege mkeka ushatick

BAADA YA CHATING
MKAKA1; This guy is so cool, yani tukipiga stori naonaga nipo na bonge la genious

MKAKA2; Yani huyu rafiki angu ndo best friend ninayemtegemea ana roho nzuri sana.
Moral of the story;
Wadada wengi ni wanafiki wanachat kama marafiki kweli kumbe moyoni wanachukiana.
Wakaka wengi wanachat kama hawapendani lakini mioyoni ndo wanapendana na kusapotiana
Hili bandiko liko AUTHENTIC kwa 100%
 
Back
Top Bottom