Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaaa yani hapo nimetumia tafsidasi bora "huyu mwehu ana jichetua"
ukikutana na sisi utaskia " Uyu malaya nae anajikuta Nick minaj[emoji23][emoji23] kumbe matopeni tu ..malaya mbabaishaji
Muwe wakweliSijui tufanyeje ili tuache hii tabia ya kunafkiana.
Ndo maana nawakubali masela kuliko mashostKama kawaida huwezi lala njaa ukiwa na masela kitaa.
Karibu sana
Ni kuacha tu unafikiSijui tufanyeje ili tuache hii tabia ya kunafkiana.
Kafa[emoji23] [emoji23] *ivi uyu demu anajikutag nani kwanza ..uso umemkomaa kama goti la baba tifaHaahaaa yani hapo nimetumia tafsida
Wanawake aloturoga cjui kafa
Acheni umaku nyie wazee nami natimba hapo fasta[emoji3]Ukweli 100%
Msela1: we ****** uko wap njoo hapa tupige maji najua leo umelala tu huna sera
Msela2: Dah we fala kwel, nakuja hapo dk 0 ila sina hela bodaboda
Msela1: hata ukija kwa ndege nakulipia tu we boya
Msela2: poa kichaa wng dk 0 nasomeka hapo
We bwege sana siku hizi husomeki kitaa shemeji hajamboAcheni umaku nyie wazee nami natimba hapo fasta[emoji3]
Bado hujakuwa upo chuo weweAisee sio wote ukiona sms ninazochati na rafiki zangu kama ulikuwa na mpango wa kuoa unaweza ukaghairi maana sio kwa mitusi ile,kwanza ile unapokea simu tu unakutana na bonge la tusi!!!. Siku nikitengana nao itaniuma sana
Wanawake hawatafuti attention ya wanaume wanapenda kusifiwa na Wanawake wenzao ndo maana hata atajigonga kwa boss ili awalingishie wenzakeHiyo sijui tuseme ni nature au vile vile inachochewa zaidi na mfumo dume?
Kwa asili wanawake ni washindani wenyewe kwa wenyewe. Hata wanaume ni washindani. Lakini wanawake wanashindania nini? Na wanaume wanashindania nini? Hilo ndilo swali la msingi inatupasa tutambue.
Kwa asili wanawake ni washindani ili kupata "attention" ya dunia ya wanaume. Hivyo mwanamke japo hataweka mambo hadharani lakini kimoyomoyo anamuona mwanamke mwenzake ni adui yake kwa sababu anaweza kukosa yatokanayo na dunia ya wanaume. Mathalani kuwa na boyfriend au mume atakelinda maslahi yake, mwenye uwezo, mwenye sifa zote za urijali etc.
Hivyo wanawake hushindana kwenye mavazi, uzuri, make up etc. Ila sasa tatizo la wanawake japo wanashindana lakini ni wajanja kama wanasiasa kwenye "wa-manipulate" wanzao . Ushindani wao huwa ni tofauti na ushindani wa wanaume, wao huwa kama kundi la ng'ombe ambapo huwa siku zote huwa wapo pamoja kwa sababu za kisosholojia (udhaifu wa wanawake), yaani mwanamke kuwa kivyake vyake ni kama vile ng'ombe dume lililoamua kujitenga na kundi. Samahani lakini, ndiyo maana wanawake wengi ni mabingwa wa uongo, uzandiki, kusengenyana na kusutana hata kama wapo kwenye kundi moja na yote ile ni katika kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata vinono toka kwenye dunia ya wanaume. Ukitaka kujua uongo wa wanawake wewe angalia wanavyokuwa "natural" bila "make up".
Ushindani wa wanaume upo kwenye kutafuta kipato, mbumba, mpunga, kupanda vyeo makazini, ili aweze kuhudumia familia na ndugu zake. Wanaume wanaishi kama kundi la simba, ambapo kila mmoja anakuwa na malengo yake pindi pale wanaposhambulia mnyama. Huyu atauma, mkono, mwingine mguu, mwingine shingo, na yupo atakayewahi maini ili mradi kila mmoja na nguvu zake na bidii yake ili afanikiwe.