Chating za wadada vs chating za wakaka

Chating za wadada vs chating za wakaka

si bora "huyu mwehu ana jichetua"

ukikutana na sisi utaskia " Uyu malaya nae anajikuta Nick minaj[emoji23][emoji23] kumbe matopeni tu ..malaya mbabaishaji
Haahaaa yani hapo nimetumia tafsida
Wanawake aloturoga cjui kafa
 
Ukweli 100%
Msela1: we ****** uko wap njoo hapa tupige maji najua leo umelala tu huna sera

Msela2: Dah we fala kwel, nakuja hapo dk 0 ila sina hela bodaboda

Msela1: hata ukija kwa ndege nakulipia tu we boya

Msela2: poa kichaa wng dk 0 nasomeka hapo
Acheni umaku nyie wazee nami natimba hapo fasta[emoji3]
 
Aisee sio wote ukiona sms ninazochati na rafiki zangu kama ulikuwa na mpango wa kuoa unaweza ukaghairi maana sio kwa mitusi ile,kwanza ile unapokea simu tu unakutana na bonge la tusi!!!. Siku nikitengana nao itaniuma sana
Bado hujakuwa upo chuo wewe
 
Hiyo sijui tuseme ni nature au vile vile inachochewa zaidi na mfumo dume?

Kwa asili wanawake ni washindani wenyewe kwa wenyewe. Hata wanaume ni washindani. Lakini wanawake wanashindania nini? Na wanaume wanashindania nini? Hilo ndilo swali la msingi inatupasa tutambue.

Kwa asili wanawake ni washindani ili kupata "attention" ya dunia ya wanaume. Hivyo mwanamke japo hataweka mambo hadharani lakini kimoyomoyo anamuona mwanamke mwenzake ni adui yake kwa sababu anaweza kukosa yatokanayo na dunia ya wanaume. Mathalani kuwa na boyfriend au mume atakelinda maslahi yake, mwenye uwezo, mwenye sifa zote za urijali etc.

Hivyo wanawake hushindana kwenye mavazi, uzuri, make up etc. Ila sasa tatizo la wanawake japo wanashindana lakini ni wajanja kama wanasiasa kwenye "wa-manipulate" wanzao . Ushindani wao huwa ni tofauti na ushindani wa wanaume, wao huwa kama kundi la ng'ombe ambapo huwa siku zote huwa wapo pamoja kwa sababu za kisosholojia (udhaifu wa wanawake), yaani mwanamke kuwa kivyake vyake ni kama vile ng'ombe dume lililoamua kujitenga na kundi. Samahani lakini, ndiyo maana wanawake wengi ni mabingwa wa uongo, uzandiki, kusengenyana na kusutana hata kama wapo kwenye kundi moja na yote ile ni katika kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata vinono toka kwenye dunia ya wanaume. Ukitaka kujua uongo wa wanawake wewe angalia wanavyokuwa "natural" bila "make up".


Ushindani wa wanaume upo kwenye kutafuta kipato, mbumba, mpunga, kupanda vyeo makazini, ili aweze kuhudumia familia na ndugu zake. Wanaume wanaishi kama kundi la simba, ambapo kila mmoja anakuwa na malengo yake pindi pale wanaposhambulia mnyama. Huyu atauma, mkono, mwingine mguu, mwingine shingo, na yupo atakayewahi maini ili mradi kila mmoja na nguvu zake na bidii yake ili afanikiwe.
Wanawake hawatafuti attention ya wanaume wanapenda kusifiwa na Wanawake wenzao ndo maana hata atajigonga kwa boss ili awalingishie wenzake
 
Mwanangu text ya kwanza ni "We Boya" Nae hunijibu ww nambie "Snitch yule demu wa jana ulikula vitu??" Boys raha sana.
 
Mwaka jana mwishoni nilikuwa ndani ya office moja inayohusika na masuala ya insurance katikati ya jiji{sitaitaja hapa wahusika wanaweza kuwepo humu},nikiwa namsubiri jamaa niliyekuwa na appointment nae pale reception walikaa wadada wawili wa kawaida sana wala sio warembo kiviile.

Sasa akaingia mwenzao kajipara balaa haijulikani ana rangi gani hata dress code yake haikuwa rafiki hata kidogo,wakamwita basi mara "eeh jamani umependezaa,hilo gauni umenunua wapi!mwengjne hee wigi lako zuri nani kakubandika mara tena hee kiatu chako shoga kimeonyesha mguu wako ulivyoumbika" blah blah blah blah akaelekea ndani kwenye ofisi yake.

Nilikuja kugutushwa na msonyo alioutoa mmoja wa wale ma receptionist huku akisema "apendeze wapi uso umemkaa kama anaku.nya kinyesi cha mapera mwingine akadakia mguu wenyewe hana anatembea kama anaingia mlango wa leba huku wakigongeshana viganja na kicheko cha dharau.

Picha ilijirudia jinsi yule mwenzao alivyokuwa anafurahi kusifiwa basi niliwaangalia kwa hasira hadi wakanistukia ila mie nikaona poa tu toka siku hiyo nikajua jinsi madem walivyo wanafiki.

Africa labda kama duniani huko ila Africa hakuna mwanamke anaemtakia mwenzie heri zaidi ni kicheko usoni moyoni chuki isiyofichika na ndivyo ilivyo hawatokaa wabadilike ila ni nadra sana wanaume kukaa na kuanza kumsema mwenzao vibaya labda kuhusu anavyovaa etc.
 
We linguists call it "Gender Exclusive Differentiation"
Hii ni asili na Mungu mkuu wa vyote kaumba hvyo .
Haina haja ya ku-take advantage kwa ku-weaken jinsia tofauti maana such differences iz wht makes life exist
 
Back
Top Bottom