Chating za wadada vs chating za wakaka

Chating za wadada vs chating za wakaka

Hiyo sijui tuseme ni nature au vile vile inachochewa zaidi na mfumo dume?

Kwa asili wanawake ni washindani wenyewe kwa wenyewe. Hata wanaume ni washindani. Lakini wanawake wanashindania nini? Na wanaume wanashindania nini? Hilo ndilo swali la msingi inatupasa tutambue.

Kwa asili wanawake ni washindani ili kupata "attention" ya dunia ya wanaume. Hivyo mwanamke japo hataweka mambo hadharani lakini kimoyomoyo anamuona mwanamke mwenzake ni adui yake kwa sababu anaweza kukosa yatokanayo na dunia ya wanaume. Mathalani kuwa na boyfriend au mume atakelinda maslahi yake, mwenye uwezo, mwenye sifa zote za urijali etc.

Hivyo wanawake hushindana kwenye mavazi, uzuri, make up etc. Ila sasa tatizo la wanawake japo wanashindana lakini ni wajanja kama wanasiasa kwenye "wa-manipulate" wanzao . Ushindani wao huwa ni tofauti na ushindani wa wanaume, wao huwa kama kundi la ng'ombe ambapo huwa siku zote huwa wapo pamoja kwa sababu za kisosholojia (udhaifu wa wanawake), yaani mwanamke kuwa kivyake vyake ni kama vile ng'ombe dume lililoamua kujitenga na kundi. Samahani lakini, ndiyo maana wanawake wengi ni mabingwa wa uongo, uzandiki, kusengenyana na kusutana hata kama wapo kwenye kundi moja na yote ile ni katika kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata vinono toka kwenye dunia ya wanaume. Ukitaka kujua uongo wa wanawake wewe angalia wanavyokuwa "natural" bila "make up".


Ushindani wa wanaume upo kwenye kutafuta kipato, mbumba, mpunga, kupanda vyeo makazini, ili aweze kuhudumia familia na ndugu zake. Wanaume wanaishi kama kundi la simba, ambapo kila mmoja anakuwa na malengo yake pindi pale wanaposhambulia mnyama. Huyu atauma, mkono, mwingine mguu, mwingine shingo, na yupo atakayewahi maini ili mradi kila mmoja na nguvu zake na bidii yake ili afanikiwe.
 
Inabidi atoe taarifa kama anataka kukuchapia?
Yeah katongozwa na msichana wangu inabidi aniambie sometimes yawezekana nikawa ndio nimedata pale namwambia mkaushie huyu, ila kama hakuna strong feelings namruhusu mchape nipate gia ya kuachana nae!..
Nikigundua manzi angu anatembea na jamaa wa mtaa wa 3 sitaumia kama ugomvi utakaokuja nikigundua rafiki yangu ananichapia kimya kimya!.
 
Na kiuhalisia,wanawake wanapenda wangekua wanaume,yaan bora angezaliwa mwanaume na wanaume wanapenda wangeendelea kua wanaume hvyohvyo.

N.b ...Exclude gays hapa.ambao si ni asilimia ndogo sana
 
Back
Top Bottom