Chato Challenge: Lissu na Membe wakafanye mikutano ya hadhara Chato tuone mapokezi yao

Leo Ijumaa tarehe 14, Agosti 2020 ningependa kutoa challenge kwa wagombea urais wote isipokuwa Rais Magufuli..
Hakuna anayekubalika kwa 100% ya wananchi wote..... Unadhani kule kwa KUWAPIGA MASHANGAZI WA WAZIRI MKUU JPM ANAKUBALIKA KWA 100%...!?
 
Kabla Tundu Lissu pamoja na Membe hawajaenda Chato, mwambie Rais Magufuli aende Singida Mashariki (Ikungi) pamoja na mtama akawaeleze wananchi katika kipindi chake cha urais amewafanyia nini.
 
Leo Ijumaa tarehe 14, Agosti 2020 ningependa kutoa challenge kwa wagombea urais wote isipokuwa Rais Magufuli.

Hususan Tundu Lissu na Bernard Membe maana wao ndo wanadai kuwa wanakubalika sana na umma wa Watanzania. Na kama kweli ni wajasiri kama inav

Katika mizunguko yao nchini ya kutafuta wadhamini, waende pia Chato, ambako ndo nyumbani kwa Rais Magufuli, halafu wafanye hiyo mikutano yao hadharani tuone ni kiasi gani cha watu kitachojitokeza.

Tuone kama watashangiliwa.

Na tuone mengine ambayo kwa sasa hayajulikani.

Kazi kwenu Tundu na Benadi.
nini Lissu au Membe....kule Chato kuna mwanamama mmoja wa Chadema aitwa Husna... anawapelekesha kweli kweli kule.

by the way historia inaonesha JPM hajawahi kushinda ubunge kirahisi Chato wala Biharamulo.

so, there are all indicators Lissu atatandikiwa red carpet kwenye vumbi siku atakapotembelea Chato!
 
Leo Ijumaa tarehe 14, Agosti 2020 ningependa kutoa challenge kwa wagombea urais wote isipokuwa Rais Magufuli.

Hususan Tundu Lissu na Bernard Membe maana wao ndo wanadai kuwa wanakubalika sana na umma wa Watanzania. Na kama kweli ni wajasiri kama inav

Katika mizunguko yao nchini ya kutafuta wadhamini, waende pia Chato, ambako ndo nyumbani kwa Rais Magufuli, halafu wafanye hiyo mikutano yao hadharani tuone ni kiasi gani cha watu kitachojitokeza.

Tuone kama watashangiliwa.

Na tuone mengine ambayo kwa sasa hayajulikani.

Kazi kwenu Tundu na Benadi.
Tunduli huyu huyu anayebeza maendeleo yaliyofanywa kwa Wananchi wa Chato kAMA Chato sio Tanzania vile?
Nilimsikiliza nikamuone huruma sana Tunduli, Eti Rais kajenga uwanja mkubwa sana wa Ndege Chato???Ule uwanja au airstrip? Sasa alitarajia Rais akatue na ndege yake juu ya paa za nyumba?
 
Atakuwa Rais milele? au ni uchwara tu mwenye kutumia ndege na si watangulizi wake... usipotoshe hoja yake.

Hata hivyo TL hajabeza, amepongeza kuwa hayo ndiyo ‘mapya’ kwa serikali hii ikiwemo mbuga ya kusomba wanyama!

Jifunze kuelewa mlamu.
 
Rais anakuwa mtu mmoja tu katika watu mil 60, acha wivuphobia.
 
Leo Ijumaa tarehe 14, Agosti 2020 ningependa kutoa challenge kwa wagombea urais wote isipokuwa Rais Magufuli.

Hususan Tundu Lissu na Bernard Membe maana wao ndo wanadai kuwa wanakubalika sana na umma wa Watanzania. Na kama kweli ni wajasiri kama inav

Katika mizunguko yao nchini ya kutafuta wadhamini, waende pia Chato, ambako ndo nyumbani kwa Rais Magufuli, halafu wafanye hiyo mikutano yao hadharani tuone ni kiasi gani cha watu kitachojitokeza.

Tuone kama watashangiliwa.

Na tuone mengine ambayo kwa sasa hayajulikani.

Kazi kwenu Tundu na Benadi.
Kwahiyo kwa umati huu bado huamini kuwa wanakubarika ??
IMG-20200812-WA0193.jpg
IMG-20200811-WA0186.jpg
 
Ndo tutaujua ukweli.
Chadema awamu hii imewatukana sana wana chato na wana kanda ya ziwa kwa ujumla kwa kuwaita ni washamba!

Sifikiri kwa matusi wanyotukanwa wana chato na kanda ya ziwa kisa uwanja wa ndege kama chadema ina ujasiri wa kwenda kuomba kura huko!

Uliona Lisu alipoenda mwanza umeona hata picha moja ya mafuriko?

Hawa jmaabwasitegemee kura toka kanda ya ziwa.
 
Mimi nilidhani unaomba mjadala wa wagombea uraisi.
 
Back
Top Bottom