Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Hakuna MTU anachukiwa kwao kama JPM!! WATU wa Chato wanamchukia jamaaa sijawahi ona ndio maana viongozi wengi wa upinzani wamefungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinini?Njoo tuzipige 🤜🏿🤜🏿
Ngumi.Zinini?
Kivipi? Lissu na Membe wanaweza kupigwa mawe huko Chato?
Wa wapi ww unafikiria kupigana Karne hii......Ngumi.
Kivipi? Lissu na Membe wanaweza kupigwa mawe huko Chato?
Ukiwa huwezi lazima uje na visingizio.Wa wapi ww unafikiria kupigana Karne hii......
Hizi ndo akili zilizopandikizwa vichwani mwa vijana wa ccm hii ya magufuli....
Wanashindwa hoja zote wanakimbilia kupiga, kutukana, kujiapiza kuua na kuteka WAPINZANI....
Oneni mbwa huyu anataka tupigane eti.... 😒😒
Naona kila siku mnajaribu kutanua magoliNdo tutaujua ukweli.
nyani ngabu hakuna jasiri kati ya hao wawili anayethubutu kukanyaga chato never
Hakuna mtu atashangaa kuona Lissu au Membe hawana mafuriko chattle.Leo Ijumaa tarehe 14, Agosti 2020 ningependa kutoa challenge kwa wagombea urais wote isipokuwa Rais Magufuli.
Hususan Tundu Lissu na Bernard Membe maana wao ndo wanadai kuwa wanakubalika sana na umma wa Watanzania. Na kama kweli ni wajasiri kama inavyosemwa.
Katika mizunguko yao nchini ya kutafuta wadhamini, waende pia Chato, ambako ndo nyumbani kwa Rais Magufuli, halafu wafanye hiyo mikutano yao hadharani tuone ni kiasi gani cha watu kitachojitokeza.
Tuone kama watashangiliwa.
Na tuone mengine ambayo kwa sasa hayajulikani.
Kazi kwenu Tundu na Benadi.
Mataga bwana hivi ujui kuwa halmashauri ya Chato anapokaa huyo Meko inaongozwa na CHADEMA. Muombe mungu asikunyime akili. Mataga wamenyimwa akili. Yaani vichwa vyao ni matopeLeo Ijumaa tarehe 14, Agosti 2020 ningependa kutoa challenge kwa wagombea urais wote isipokuwa Rais Magufuli.
Hususan Tundu Lissu na Bernard Membe maana wao ndo wanadai kuwa wanakubalika sana na umma wa Watanzania. Na kama kweli ni wajasiri kama inavyosemwa.
Katika mizunguko yao nchini ya kutafuta wadhamini, waende pia Chato, ambako ndo nyumbani kwa Rais Magufuli, halafu wafanye hiyo mikutano yao hadharani tuone ni kiasi gani cha watu kitachojitokeza.
Tuone kama watashangiliwa.
Na tuone mengine ambayo kwa sasa hayajulikani.
Kazi kwenu Tundu na Benadi.
Basi ajaribu hata kwenda katoro tuone kama atapata watu wengi??Chato ni wilaya ambayo population yake Ni ndogo mno huwez kulinganisha hata na mji mdogo wa katoro kwahy hata kama hatapata watu wengi itakua sio kipimo sahihi cha kukubalika au kutokubalika kwa wagombea uliowataja hapo
Alaaa! Basi kama Chato inaongozwa na CHADEMA, Lissu ana kila sababu za kwenda huko.Mataga bwana hivi ujui kuwa halmashauri ya Chato anapokaa huyo Meko inaongozwa na CHADEMA. Muombe mungu asikunyime akili. Mataga wamenyimwa akili. Yaani vichwa vyao ni matope