Chato Challenge: Lissu na Membe wakafanye mikutano ya hadhara Chato tuone mapokezi yao

So kwako Chato ndio kipimo cha Siasa za Tanzania..!?
 
Huyu jamaa sometime huwa ananishangaza.....!

Anawaza chini ya Kiwango....!
 
Kama shida ni kutua, marais waliopita walikuwa hawana hiyo shida?
 

And Vice Versa
 
Tunataka mjadala baina ya wagombea urais wote watuahidi miaka mitano wata watendea kitu gani watanzania kwa ambae atashika nafasi ya kuingia ikulu
 
Tunataka mjadala baina ya wagombea urais wote watuahidi miaka mitano wata watendea kitu gani watanzania kwa ambae atashika nafasi ya kuingia ikulu
Nendeni Chato mkafanye huo mjadala.
 
Lisu hawezi huyo anavizia vizia tu .
 
Nyani , kumbuka kabla bwana mkubwa hajaukwaa hiyo Chato ilikuwa all most chini ya Cdm . Na hata jamaa 2010 ilibidi figisu ndiyo arudi Dodoma. Na hata kipindi hiki imekuepo kampeni za kushusha bendera za Cdm mpaka mkamweka dada wa watu ndani kisa mabendera.

Mapenzi hayalazimishwi . Tumeni huo ujumbe nyumbani mwenu humo.
 
Mwambie Lissu aende basi..
 
Kwa taarifa yako chato ile ni Jamhuri mkuu...... Pale hakuna watz kuna wanachato tu........
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tangu lini chato ndiyo imekuwa kipimo cha mgombea Urais kukubalika na Watanzania? Kuna eneo/sehemu yoyote ile katika chaguzi za miaka ya nyuma iliyowahi kuwa ni kipimo cha mgombea wa Urais kukubalika Nchini!? Ni Wilaya gani au ni Mkoa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…