Chato imetelekezwa? Maji hayatoki kwenye mabomba zaidi ya miezi miwili

Chato imetelekezwa? Maji hayatoki kwenye mabomba zaidi ya miezi miwili

Kweli sasa hii imekuwa aibu kubwa. Ziwa Victoria lipo jirani kama km 1. Lakini maji hayapatikani kwenye miji ya watu wenye mabomba.

Je, Hayati Magufuli angekuwepo haya yangetokea Chato?
Siyo kutelekezwa bali jpm aliipendelea kwa pupa bila plan yoyote. Alitaka kujijengea ufalme wa kidictator mungu akamtospusha
 
Kweli sasa hii imekuwa aibu kubwa. Ziwa Victoria lipo jirani kama km 1. Lakini maji hayapatikani kwenye miji ya watu wenye mabomba.

Je, Hayati Magufuli angekuwepo haya yangetokea Chato?
Kwanini chato? Hata hapa luchelele nipo mita 100 kutoka ziwani na maji hayatoki..
 
Chato haijawahi kupendelewa kama Gbdolite.
Kwa miaka mitano imetekelezwa miradi ya matrilioni ya fedha kiupendeleo,miradi ambayo haikuwa na ulazima wowote mfano uwanja mkubwa wa ndege na hospitali ya kanda wakati Mwanza kuna hospitali kubwa ya kanda na hata uwanja wa ndege wenye ukubwa ule ulistahili uwepo Mwanza kutokana na hadhi ya mji wa Mwanza ukilinganisha na Chato,Tanzania ilipata kiongozi wa ovyo kabisa sema ndiyo hivyo Mungu naye fundi.
 
Back
Top Bottom