Chato imetelekezwa? Maji hayatoki kwenye mabomba zaidi ya miezi miwili

CCM wasirudie kufanya makosa kuna watu hawastahili kuwa viongozi wa nchi wanaweza kuleta mtafuruku kwa sababu ya kupendelea maeneo waliyotoka.
 
Wakati huo huo huku Kizimkazi maji yanatoka mpaka yanamwagika.
 
Kweli sasa hii imekuwa aibu kubwa. Ziwa Victoria lipo jirani kama km 1. Lakini maji hayapatikani kwenye miji ya watu wenye mabomba.

Je, Hayati Magufuli angekuwepo haya yangetokea Chato?
Maji yanasumbua Dar sembuse huko Kijijini?
 
Kweli sasa hii imekuwa aibu kubwa. Ziwa Victoria lipo jirani kama km 1. Lakini maji hayapatikani kwenye miji ya watu wenye mabomba.

Je, Hayati Magufuli angekuwepo haya yangetokea Chato?
Bora hayupo, Chato ulikuwa ni uwekezaji wa kipumbavu kabisa tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika.
 
Kweli sasa hii imekuwa aibu kubwa. Ziwa Victoria lipo jirani kama km 1. Lakini maji hayapatikani kwenye miji ya watu wenye mabomba.

Je, Hayati Magufuli angekuwepo haya yangetokea Chato?
Kizimkazi ukiona mwenzio ananyolewa kichwa tia maji ya bahari
 
Kweli sasa hii imekuwa aibu kubwa. Ziwa Victoria lipo jirani kama km 1. Lakini maji hayapatikani kwenye miji ya watu wenye mabomba.

Je, Hayati Magufuli angekuwepo haya yangetokea Chato?
Kwani yuko wapi?
 
Back
Top Bottom