Chato imetelekezwa? Maji hayatoki kwenye mabomba zaidi ya miezi miwili

Chato imetelekezwa? Maji hayatoki kwenye mabomba zaidi ya miezi miwili

Kweli sasa hii imekuwa aibu kubwa. Ziwa Victoria lipo jirani kama km 1. Lakini maji hayapatikani kwenye miji ya watu wenye mabomba.

Je, Hayati Magufuli angekuwepo haya yangetokea Chato?
Msukule wa Magufuli bado unaamini kuwa Magufuli atarudi. Jipange na mfumo uliopo ili uendeshe maisha yako. Shetani Magufuli alikataliwa na Mungu
 
Nasikia hapo kizimkazi maji ya bomba mnayatumia hadi kumwagilia minazi na mikarafuu kwa jinsi yalivyomengi!!!
😂😂😂
Siwezi pata kiwanja huko Maaalim?
kanunue uwanja hata bahi huko wewe mwenzio nilipoteza hela chato now najuta
 
kanunue uwanja hata bahi huko wewe mwenzio nilipoteza hela chato now najuta
Chato nilijua lazima watu wataumizwa tu. Kile ni kijiji haswa. Ila kizimkazi Unguja ukipata uwanja kule alhamdullilah!! Ila sasa mpaka wakuuzie iko shughuli, mbaya zaidi wajue mnunuzi ni mtu wa kutoka bara hupati kabisa wakati sie Tandika huku wapemba na waunguja tumewauzia viwanja kibao.
 
Mbna bint wa magufuli anagawa pikipiki Kumbe mabomba nyumbni kwao hayatoai maji
 
Msukule wa Magufuli bado unaamini kuwa Magufuli atarudi. Jipange na mfumo uliopo ili uendeshe maisha yako. Shetani Magufuli alikataliwa na Mungu
We kenge unayetumia makalio kufikiri kaa kimya.
 
Back
Top Bottom