Msukule wa Magufuli bado unaamini kuwa Magufuli atarudi. Jipange na mfumo uliopo ili uendeshe maisha yako. Shetani Magufuli alikataliwa na MunguKweli sasa hii imekuwa aibu kubwa. Ziwa Victoria lipo jirani kama km 1. Lakini maji hayapatikani kwenye miji ya watu wenye mabomba.
Je, Hayati Magufuli angekuwepo haya yangetokea Chato?
Nasikia hapo kizimkazi maji ya bomba mnayatumia hadi kumwagilia minazi na mikarafuu kwa jinsi yalivyomengi!!!Wakati huo huo huku Kizimkazi maji yanatoka mpaka yanamwagika.
kanunue uwanja hata bahi huko wewe mwenzio nilipoteza hela chato now najutaNasikia hapo kizimkazi maji ya bomba mnayatumia hadi kumwagilia minazi na mikarafuu kwa jinsi yalivyomengi!!!
πππ
Siwezi pata kiwanja huko Maaalim?
Chato nilijua lazima watu wataumizwa tu. Kile ni kijiji haswa. Ila kizimkazi Unguja ukipata uwanja kule alhamdullilah!! Ila sasa mpaka wakuuzie iko shughuli, mbaya zaidi wajue mnunuzi ni mtu wa kutoka bara hupati kabisa wakati sie Tandika huku wapemba na waunguja tumewauzia viwanja kibao.kanunue uwanja hata bahi huko wewe mwenzio nilipoteza hela chato now najuta