This is lemon business.Halmashauri ya wilaya ya Chato ikishirikiana na NHC inawakaribisha watanzania kununua viwanja vya makazi, biashara na viwanda eneo la Rubambagwe lililo katikati ya mji wa Chato na pembezoni mwa ziwa Viktoria barabara kuu ya Bukoba.
Chato inafikika kwa usafiri wa anga, maji na ardhini pia ni mji unaokwenda kwa kasi.
View attachment 1675632
Unakumbuka ya Mobutu Tseseseko, cheki video you tubeVinne hapo nachukua soon chato itakua jiji.
Mzee kigagula kumbe Tanzania ni mkoa katika nchi ya Chato?Ngoja niwahi kujenga kilinge
Halafu baada ya 2025 utavifanyia nini huko madongo kwinama?Kama sq.m 1 ni TZS. 1,000 nitachukua viwili!
Mkuu, naomba hili tangazo nitumie DM, naona hapa linagoma kupakulika! Sijui tatizo ni nini! AsanteHalmashauri ya wilaya ya Chato ikishirikiana na NHC inawakaribisha watanzania kununua viwanja vya makazi, biashara na viwanda eneo la Rubambagwe lililo katikati ya mji wa Chato na pembezoni mwa ziwa Viktoria barabara kuu ya Bukoba.
Chato inafikika kwa usafiri wa anga, maji na ardhini pia ni mji unaokwenda kwa kasi.
View attachment 1675632