Chato kumenoga, NHC yatangaza kuuza viwanja 1,200 pembeni mwa ziwa Viktoria. Panafikika kwa usafiri wa anga, majini na ardhini

Mungu yupo ndugu yangu na korona bado ipo usije shangaa kipindi cha pili mtu ulimi nje chali kifo cha mende nyimbo za maombolezo kila kona,bendera nusu mlingoti ndipo itakuwa kilio na kusaga meno ,miradi yote piga chini kama alivyopiga chini bandari ya bwagamoyo
Hazikupita siku 60
 
Tutapeleka na wanawake wazuri huko machotara ya Zanzibar, yakazaliane huko kuupendezesha mji.

Kama huna taarifa ile Hospitali ya Chato ni Zonal Level Kama unavyoona Bugando au Mloganzila.

Ukomo wetu wa kuongoza sio miaka 5.

Utaratibu upo hivi; Miaka 5 ya mwanzo ni kipindi cha kujifunza na kupanga. Miaka mitano ya pili ni IMPLEMENTATION ya kile kilichopangwa miaka 5 ya mwanzo.

Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ku wrap up yaani kuhitimisha implementation. Ni kipindi cha UKAMILISHAJI. Yaani Ni kipindi cha kukamilisha uumbaji wa nchi.
Vipi mpo kipindi kipi kwa sasa?
 
Mungu yupo ndugu yangu na korona bado ipo usije shangaa kipindi cha pili mtu ulimi nje chali kifo cha mende nyimbo za maombolezo kila kona,bendera nusu mlingoti ndipo itakuwa kilio na kusaga meno ,miradi yote piga chini kama alivyopiga chini bandari ya bwagamoyo
Dah aisee kuna watu wana maono jamani..👐👐🙌
 
Mungu yupo ndugu yangu na korona bado ipo usije shangaa kipindi cha pili mtu ulimi nje chali kifo cha mende nyimbo za maombolezo kila kona,bendera nusu mlingoti ndipo itakuwa kilio na kusaga meno ,miradi yote piga chini kama alivyopiga chini bandari ya bwagamoyo
Duh aisee!
 
Back
Top Bottom