Abel Ndundulu
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 846
- 388
Chato - Burigi National Park,Halmashauri ya wilaya ya Chato ikishirikiana na NHC inawakaribisha watanzania kununua viwanja vya makazi, biashara na viwanda eneo la Rubambagwe lililo katikati ya mji wa Chato na pembezoni mwa ziwa Viktoria barabara kuu ya Bukoba.
Chato inafikika kwa usafiri wa anga, maji na ardhini pia ni mji unaokwenda kwa kasi.
Chato Airport,
Chato International Stadium (Coming soon),
Chato Mataa,
Hospitali ya Rufaa ya Chato,
Bandari ya Nyamirembe Chato,
TRA Chato;
Chuo Cha Ufundi Stadi - Chato
.
.
Kwa hisani ya watu wa CHATO!!
.
.
Mtapapenda tu