Chato kumenoga, NHC yatangaza kuuza viwanja 1,200 pembeni mwa ziwa Viktoria. Panafikika kwa usafiri wa anga, majini na ardhini

Chato - Burigi National Park,
Chato Airport,
Chato International Stadium (Coming soon),
Chato Mataa,
Hospitali ya Rufaa ya Chato,
Bandari ya Nyamirembe Chato,
TRA Chato;
Chuo Cha Ufundi Stadi - Chato
.
.
Kwa hisani ya watu wa CHATO!!
.
.
Mtapapenda tu
 
Wilaya pendwa Tanzania 😍😍😍😍
 
Pesa kweli mwanaharamu pori linageuzwa kuwa mji na usishangae visinunuliwe vyote...
 
Mimi mangi nina ruhusiwa kuchukuwa kumi apo karibu na kwa mjomba
 
Mbona kila kitu Chatro,
Kwani atatawala milele?
Huu ubinafsi Mungu hapendi!!
 
[emoji16]wale wa chato
Rudini nyumbani kumenoga
 
Tatizo chato hakuna pisi kali wenyeji wake ni wakimbizi wa burundi wahutu na watwa

Tutapeleka na wanawake wazuri huko machotara ya Zanzibar, yakazaliane huko kuupendezesha mji.

Kama huna taarifa ile Hospitali ya Chato ni Zonal Level Kama unavyoona Bugando au Mloganzila.

Ukomo wetu wa kuongoza sio miaka 5.

Utaratibu upo hivi; Miaka 5 ya mwanzo ni kipindi cha kujifunza na kupanga. Miaka mitano ya pili ni IMPLEMENTATION ya kile kilichopangwa miaka 5 ya mwanzo.

Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ku wrap up yaani kuhitimisha implementation. Ni kipindi cha UKAMILISHAJI. Yaani Ni kipindi cha kukamilisha uumbaji wa nchi.
 
Mungu yupo ndugu yangu na korona bado ipo usije shangaa kipindi cha pili mtu ulimi nje chali kifo cha mende nyimbo za maombolezo kila kona,bendera nusu mlingoti ndipo itakuwa kilio na kusaga meno ,miradi yote piga chini kama alivyopiga chini bandari ya bwagamoyo
 
Fomu za kununua tunazipatia wapi?
 
Those are White elephant projects or business, after five years nobody will send his or here ass over there.
Or if something ILL happen...!!![emoji848][emoji848][emoji848]
 
Namshauri meko awalzimishe wabunge wote wanunue viwanja kwa lazima.
N waalimu wote na wqkurugenzi wote na wakuu wa mikoa na wkuu wa wilaya.

Au nasema uongo ndugu zanguu?

Milele na milele tenaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…