Mliona mbali sanaUkiona viwanja vinauzwa laki 6 ujue hakuna mji hapo! Labda aamue kukaa madarakani milele ili aendelee kupalazimisha pawe mji. Ukishanunua kiwanja ukajenga then nini sasa!
Hazikupita siku 60Mungu yupo ndugu yangu na korona bado ipo usije shangaa kipindi cha pili mtu ulimi nje chali kifo cha mende nyimbo za maombolezo kila kona,bendera nusu mlingoti ndipo itakuwa kilio na kusaga meno ,miradi yote piga chini kama alivyopiga chini bandari ya bwagamoyo
Vipi ulishaanza kujenga kilinge Mbwanga?Ngoja niwahi kujenga kilinge
Vipi mpo kipindi kipi kwa sasa?Tutapeleka na wanawake wazuri huko machotara ya Zanzibar, yakazaliane huko kuupendezesha mji.
Kama huna taarifa ile Hospitali ya Chato ni Zonal Level Kama unavyoona Bugando au Mloganzila.
Ukomo wetu wa kuongoza sio miaka 5.
Utaratibu upo hivi; Miaka 5 ya mwanzo ni kipindi cha kujifunza na kupanga. Miaka mitano ya pili ni IMPLEMENTATION ya kile kilichopangwa miaka 5 ya mwanzo.
Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ku wrap up yaani kuhitimisha implementation. Ni kipindi cha UKAMILISHAJI. Yaani Ni kipindi cha kukamilisha uumbaji wa nchi.
Dah aisee kuna watu wana maono jamani..πππMungu yupo ndugu yangu na korona bado ipo usije shangaa kipindi cha pili mtu ulimi nje chali kifo cha mende nyimbo za maombolezo kila kona,bendera nusu mlingoti ndipo itakuwa kilio na kusaga meno ,miradi yote piga chini kama alivyopiga chini bandari ya bwagamoyo
Duh aisee!Mungu yupo ndugu yangu na korona bado ipo usije shangaa kipindi cha pili mtu ulimi nje chali kifo cha mende nyimbo za maombolezo kila kona,bendera nusu mlingoti ndipo itakuwa kilio na kusaga meno ,miradi yote piga chini kama alivyopiga chini bandari ya bwagamoyo
Nchi zetu ndivyo zilivyoKwa sasa habari iko kizimkazi, bagamoyo na kiasi Dodoma
Nifungue kanisa tu nijiite nabii mdukuzi ahaaaaHazikupita siku 60
Wamejua walikuwa hawajuiMlionunua viwanja vipi
Kwa kweliNifungue kanisa tu nijiite nabii mdukuzi ahaaaa
[emoji23][emoji23]Chato pana nini pale?
Labda abaki milele, akiondoka madarakani na Chato itabaki kijiji kama mwanzo!