Tetesi: Chato kuwa Mkoa au Magufuli Day kutangazwa rasmi na Rais Samia

Tetesi: Chato kuwa Mkoa au Magufuli Day kutangazwa rasmi na Rais Samia

haya ndio mambo ya kulishana maneno tunayokataa, subiri hiyo kesho ( tar 17) kama ni hivyo si utashuhudia?
 
Bado hatuna upinzani unaoeleweka.
I second this, mfano mzuri ni jinsi hawa ndugu zangu wanavyokinzana kauli nadhani tumeshuhudia Mwenyekitu na Makamu Mwenyekiti wakipishana kauli baada ya Mbowe kwenda jengo jeupe.

Ndugu zetu hawa hawana umoja kila mtu ana ama amini katika fikra zake, na si katiba ya chama.
 
Kuna tetesi kadhaa zimeanza kusambaa mitaa ya Chato tangu leo asubuhi kuwa, ujio wa Rais Samia katika wilaya ya Chato katika kuadhimisha kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais Magufuli huenda kukaenda sambamba na mojawapo kati ya mambo mawili kama sio yote mawili, yaani Chato kupewa hadhi ya kuwa mkoa au tarehe 17/Machi kuwa siku ya mapumziko kitaifa (Magufuli day).

Lengo haswa ni kuenzi mema yaliyowahi kufanywa na Magufuli (kulinda legacy ya Magufuli) japokuwa wadadisi wanasema ni mbinu za Rais Samia kutafuta uungwaji mkono kutoka kanda ya ziwa baada ya kupata ukosoaji mkubwa kutoka kwa wakazi na wazawa wa mikoa ya kanda ya ziwa tangu aingie madarakani.

Kuhusu hoja kuwa ingepaswa kwanza kuwepo kwa Mkapa day kabla ya kufikiria kuwepo Magufuli day, wapigia debe wa kuwepo Magufuli day wanasema kuwa, Magufuli alifariki akiwa madarakani jambo ambalo linajenga hoja ya upekee na msukumo wa kutaka uwepo wa siku maalum ya kumkumbuka Magufuli kwa kuwa kifo kilimkuta katikati ya jukumu la kuwatumikia watanzania.
Duh. Mungu ni mwema

Hivi viroba usikute ndio Azory au Ben saanane.
1647437506375.jpg
 
Magufuli alipenda watu tuchape kazi bila kupumzika hivyo hata kama angekua hai angeipinga hiyo magufuli day.

Hata hivyo itakuaje kwa Mkapa na the likes of future presidents watakaotangulia na wluotangulia mbele za haki?
 
Kwa nini sasa hamtaki tume huru ya uchaguzi?
Bado upo usingizini mdogo wangu, yaani upinzani chini ya mbowe na zitto ndio ibebe dola? Embu muda mwingine uwe serious mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom