Tetesi: Chato kuwa Mkoa au Magufuli Day kutangazwa rasmi na Rais Samia

Tetesi: Chato kuwa Mkoa au Magufuli Day kutangazwa rasmi na Rais Samia

Hoja ya kwamba kuwe na Magufuli day eti tu kwa sababu alifariki akiwa madarakani sio kweli kwa sababu Nyerere pia alifariki akiwa hayupo madarakani lkn mbona kuna Nyerere day. Mimi kwa ushauri wangu, siku ya Nyerere day iwe ni siku ya kuwakumbuka marais wote waliotangulia mbele za haki. Lkn kila Rais tuweke siku ya kumbukumbu kiuchumi tutakua tunakula hasala kubwa sana kitaifa.
Nawasilisha.
 
Kuna tetesi kadhaa zimeanza kusambaa mitaa ya Chato tangu leo asubuhi kuwa, ujio wa Rais Samia katika wilaya ya Chato katika kuadhimisha kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais Magufuli huenda kukaenda sambamba na mojawapo kati ya mambo mawili kama sio yote mawili, yaani Chato kupewa hadhi ya kuwa mkoa au tarehe 17/Machi kuwa siku ya mapumziko kitaifa (Magufuli day).

Lengo haswa ni kuenzi mema yaliyowahi kufanywa na Magufuli (kulinda legacy ya Magufuli) japokuwa wadadisi wanasema ni mbinu za Rais Samia kutafuta uungwaji mkono kutoka kanda ya ziwa baada ya kupata ukosoaji mkubwa kutoka kwa wakazi na wazawa wa mikoa ya kanda ya ziwa tangu aingie madarakani.

Kuhusu hoja kuwa ingepaswa kwanza kuwepo kwa Mkapa day kabla ya kufikiria kuwepo Magufuli day, wapigia debe wa kuwepo Magufuli day wanasema kuwa, Magufuli alifariki akiwa madarakani jambo ambalo linajenga hoja ya upekee na msukumo wa kutaka uwepo wa siku maalum ya kumkumbuka Magufuli kwa kuwa kifo kilimkuta katikati ya jukumu la kuwatumikia watanzania.
Kwahiyo leo ng'ombe hawataota jua kwenye lile liEapoti la mwendazake?
 
Kuna tetesi kadhaa zimeanza kusambaa mitaa ya Chato tangu leo asubuhi kuwa, ujio wa Rais Samia katika Wilaya ya Chato katika kuadhimisha kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais Magufuli huenda kukaenda sambamba na mojawapo kati ya mambo mawili kama sio yote mawili, yaani Chato kupewa hadhi ya kuwa mkoa au tarehe 17/Machi kuwa siku ya mapumziko kitaifa (Magufuli day).

Lengo haswa ni kuenzi mema yaliyowahi kufanywa na Magufuli (kulinda legacy ya Magufuli) japokuwa wadadisi wanasema ni mbinu za Rais Samia kutafuta uungwaji mkono kutoka kanda ya ziwa baada ya kupata ukosoaji mkubwa kutoka kwa wakazi na wazawa wa mikoa ya kanda ya ziwa tangu aingie madarakani.

Kuhusu hoja kuwa ingepaswa kwanza kuwepo kwa Mkapa Day kabla ya kufikiria kuwepo Magufuli day, wapigia debe wa kuwepo Magufuli day wanasema kuwa, Magufuli alifariki akiwa madarakani jambo ambalo linajenga hoja ya upekee na msukumo wa kutaka uwepo wa siku maalum ya kumkumbuka Magufuli kwa kuwa kifo kilimkuta katikati ya jukumu la kuwatumikia watanzania.
kwahiyo tuliokuwa makazini tutarudishwa nyumbani au?
 
bado tuna ujinga mwingi sana, ivi Tanzania ya sasa tunahitaji kuongeza maeneo ya utawala au kuongeza maeneo ya maendeleo?. kuongeza mkoa mpya hakuleti maendeleo ila kunaongeza maeneo ya utawala kitu ambacho akina tija ya moja kwa moja kwa mwanachato au geita, chato inahitaji maendeleo.
 
Kuna tetesi kadhaa zimeanza kusambaa mitaa ya Chato tangu leo asubuhi kuwa, ujio wa Rais Samia katika Wilaya ya Chato katika kuadhimisha kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais Magufuli huenda kukaenda sambamba na mojawapo kati ya mambo mawili kama sio yote mawili, yaani Chato kupewa hadhi ya kuwa mkoa au tarehe 17/Machi kuwa siku ya mapumziko kitaifa (Magufuli day).

Lengo haswa ni kuenzi mema yaliyowahi kufanywa na Magufuli (kulinda legacy ya Magufuli) japokuwa wadadisi wanasema ni mbinu za Rais Samia kutafuta uungwaji mkono kutoka kanda ya ziwa baada ya kupata ukosoaji mkubwa kutoka kwa wakazi na wazawa wa mikoa ya kanda ya ziwa tangu aingie madarakani.

Kuhusu hoja kuwa ingepaswa kwanza kuwepo kwa Mkapa Day kabla ya kufikiria kuwepo Magufuli day, wapigia debe wa kuwepo Magufuli day wanasema kuwa, Magufuli alifariki akiwa madarakani jambo ambalo linajenga hoja ya upekee na msukumo wa kutaka uwepo wa siku maalum ya kumkumbuka Magufuli kwa kuwa kifo kilimkuta katikati ya jukumu la kuwatumikia watanzania.
Ni mjinga tuu anaeweza kutangaza huo upuuzi wa sijui Magufuli day,for what extra ordinary he did?
 
Chato ni kitovuni..acha paenziwe..ikibidi serikali ijenge sanamu kubwa sana la JPM dodoma..mwanza au chato.

#MaendeleoHayanaChama

Au unaonaje mtengeneze sanamu zake nyingi toka china zikauzwa hata kariakoo ?
 
Chadema ina strong hold Chato, jambo hili halikumpendeza mwenda zake.
Wala siyo Chato tu..Mkuu..Ni Mkoa wa Geita wote...JPM bila kuteuliwa kuwa Mgombea urais 2015,Ubunge wa Chato asingeupata labda kwa Damu tena nyingi sana...Nilikuwepo field ,CHADEMA,tulikuwa timamu Idara zote.
 
Ikija kutokea kwa Hangaya tutakuwa tena Hangaya day kwakuwa ni Rais Mwanamke.
Haya mambo yakumbukizi yabaki kwa Nyerere tu.wanaofuata familia ziwe zinapewa hela kidogo kusafishia makaburi.Tukio la kesho linakula hela mingi sana

Hizo hela nyingi mno ni za kwako?
 
Hivi chato kwa mwezi makusanyo ya Kodi ni shilingi ngapi za Tz??. Anahangaika na uchaguzi wa 2025???
.
 
Ccm haijawahi kutegemea uchaguzi kutangazwa washindi.

Nadhani alichokifanya Magufuli uchaguzi wa 2020 mmeshakisahau.
Kwa upande mwingine ubabe aliyoufanya Magufuli 2020 ndiyo umetufumbua macho juu ya umuhimu wa katiba mpya. Tunamshukuru kwa hili.
 
Kwa upande mwingine ubabe aliyoufanya Magufuli 2020 ndiyo umetufumbua macho juu ya umuhimu wa katiba mpya. Tunamshukuru kwa hili.
 
Naomba nitupie hii kwa CAG kama ilivyo wadau

Hello CAG
It is my hope that you are doing fine, and I am also terrific. It is a great honour for us and our nation to have you in that office.
CAG I am very much patriotic with our nation and national resources, in fact, I underline the concept of Good Governance and it is my prayers to All Mighty God to give me Good Governance-GC life. It has come to my attention to share with you my feelings because I know you are public eye to oversee public affairs and also the Good Governance as well. CAG I wish to share with you in person and your office too my observation as of TANAPA staff regarding your staff-external auditors who have been assigned to audit our affairs annually. Let me itemize them below as follows; -

  1. They have been failing to query pertinent issues regarding Good Governance e.g., various misappropriation of funds in their normal duties on various occasion as they are paid a lot by TANAPA both in subsistence and accommodation and nowhere I had seen your staff questioning……….. our management call it………. finalization of accounts expenses…..
  2. Your staffs’ independence has been impaired a lot here at our organization as gifts given to them, amount to impair their recommendation and the conclusion they draw thereon. For instance, they are paid for their accommodation in an expensive hotel in Arusha (I can send you evidence), previously they were given trips to different Nations like Rwanda, South Africa, Kenya, and Uganda the reasons being to visit those Countries’ Parks so that can advise adequately. Currently, due to the COVID-19 pandemic, they were paid heavy brown envelopes which are supported by fake receipts to accommodate them in the systems.
  3. For example, in the recent financial audit-2020/2021 followed by a special forensic audit, your staff were impaired a lot even though I warned them secretly for being in our spotlights. This time around were paid those heavy brown envelopes without acknowledgment and receipts are reproduced/bought from other people to support cash in the envelopes just as other normal payments…...I have replies of emails confirmation for of bundle of receipts made for supporting our payments which are confirmed to be dishonored from another side……….
  4. To make things worse the internal audit management has been…. being part and parcel of the above arrangement to ensure covered bribes are uncovered. The way things are, it takes a courageous person like me to explain this widely opened pandora box…..if you can cover corruption to externals so should I to myself…...
Just to tip you, before they were paid accept payments by signing them in their signatures but the moment, they noted there is unknown questioning, they don’t sign nowadays, and this includes even part of management themselves. Please take it seriously, and I may offer any cooperation of further evidence that may be required from this side and my wish is to get rid of this behavior and change to a professional one.

Thanks, Regard TANAPA STAFF
 
Back
Top Bottom