Tetesi: Chato kuwa Mkoa au Magufuli Day kutangazwa rasmi na Rais Samia

haya ndio mambo ya kulishana maneno tunayokataa, subiri hiyo kesho ( tar 17) kama ni hivyo si utashuhudia?
 
Bado hatuna upinzani unaoeleweka.
I second this, mfano mzuri ni jinsi hawa ndugu zangu wanavyokinzana kauli nadhani tumeshuhudia Mwenyekitu na Makamu Mwenyekiti wakipishana kauli baada ya Mbowe kwenda jengo jeupe.

Ndugu zetu hawa hawana umoja kila mtu ana ama amini katika fikra zake, na si katiba ya chama.
 
Duh. Mungu ni mwema

Hivi viroba usikute ndio Azory au Ben saanane.
 
Magufuli alipenda watu tuchape kazi bila kupumzika hivyo hata kama angekua hai angeipinga hiyo magufuli day.

Hata hivyo itakuaje kwa Mkapa na the likes of future presidents watakaotangulia na wluotangulia mbele za haki?
 
Kwa nini sasa hamtaki tume huru ya uchaguzi?
Bado upo usingizini mdogo wangu, yaani upinzani chini ya mbowe na zitto ndio ibebe dola? Embu muda mwingine uwe serious mdogo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…