Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za chini kwa chini zinasema kuwa soon, wilaya ya chattl itakuwa mkoa kamili ikiundwa na wilaya zifuatazo
1. Biharamulo
2. Chattle yenyewe
3. Nyakanazi
4. Muleba
5. Runzewe
Pia hata ukiangalia majego yanayojengwa huko yamekaa mkoa mkoa.... Majengo ya TRA ni mazuri kweli hata hayapo bukoba ya namna hiyo
Police station ni ya ghorofa
Traffic light barabarani
Wanja wa ndege wa kimaifa.
And chattle university collage of Chemical Engineering.
Soon tutaongeza Jiji jipya la chattle.
Kagame kashasema
Wa kimaifaWanja!!??
Tanzania's GbadoliteHabari za chini kwa chini zinasema kuwa soon, wilaya ya chattl itakuwa mkoa kamili ikiundwa na wilaya zifuatazo
1. Biharamulo
2. Chattle yenyewe
3. Nyakanazi
4. Muleba
5. Runzewe
Pia hata ukiangalia majego yanayojengwa huko yamekaa mkoa mkoa.... Majengo ya TRA ni mazuri kweli hata hayapo bukoba ya namna hiyo
Police station ni ya ghorofa
Traffic light barabarani
Wanja wa ndege wa kimaifa.
And chattle university collage of Chemical Engineering.
Soon tutaongeza Jiji jipya la chattle.
sesekoWazabanga
Ukiona mtu anatukana ujue kimemuingiaWe choko una akili za kis.enge sana…..usipende kukaririshwa kila kitu. Dar inakuharibu sana dogo.
Inawezekana angalia ramani vizuriHuwezi kuitoa Muleba KG ukaipeleka Chattel Luna undugu na ukaribu kati ya Muleba Misenyi na Karagwe kuliko B'muro
Sawa tu....
Akimaliza huko aje na chunya atutengeneze hata Base ya kutestia makombora yetu.
Kwao uwanja umeota nyasi,majengo yote ya upendeleo wanaishi nguchiro,mpaka analikimbia taifa,hakuna hata ndugu yake kwenye aliotamani uwe mji wa dhahabu ndani ya nchi ya machimbo.Wazabanga
Bado upo usingizini kakaBinadamu kweli tunaupeo mfupi Sana hivi chato ikiwa mkoa ndiyo itakuwa ya kwanza kuwa mkoa? ebu jaribu kukumbuka tulipopata uhuru 61 tulikuwa na mikoa mingapi? na kwa sasa hivi ipo mingapi?
Huenda ulikuwa na pointi, lakini Uzi wako umeuharibu kwa kutia chumvi zisizo na maana? Huenda pia maeneo uliyoyataja huyajui.. Kutoka Nyakanazi kwenda Runzewe.. Ni Kilometa zisizozidi 30 nauli ni sh 2000(elf 2) sasa Tarafa za wilaya ya Runzewe zitatoka wapi??. Siku nyingine soma hata Geography ya maeneo ndo uandike..
Imloto ma,ma,eeeBarungi kumaso