Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Habari za chini kwa chini zinasema kuwa soon, wilaya ya chattl itakuwa mkoa kamili ikiundwa na wilaya zifuatazo
1. Biharamulo
2. Chattle yenyewe
3. Nyakanazi
4. Muleba
5. Runzewe

Pia hata ukiangalia majego yanayojengwa huko yamekaa mkoa mkoa.... Majengo ya TRA ni mazuri kweli hata hayapo bukoba ya namna hiyo

Police station ni ya ghorofa

Traffic light barabarani

Wanja wa ndege wa kimaifa.

And chattle university collage of Chemical Engineering.

Soon tutaongeza Jiji jipya la chattle.

Picha ziko wapi ili tuamini?
 
Tanzania's Gbadolite
 
Binadamu kweli tunaupeo mfupi Sana hivi chato ikiwa mkoa ndiyo itakuwa ya kwanza kuwa mkoa? ebu jaribu kukumbuka tulipopata uhuru 61 tulikuwa na mikoa mingapi? na kwa sasa hivi ipo mingapi?
 
Aifanye iwe nchi kabisa afu akatawale huko milele atuachia tz yetu!!
 
Ikiwa mkoa ndo vizuri huduma zinasogea jirani na wananchi zaidi au vipi?
 
Huenda ulikuwa na pointi, lakini Uzi wako umeuharibu kwa kutia chumvi zisizo na maana? Huenda pia maeneo uliyoyataja huyajui.. Kutoka Nyakanazi kwenda Runzewe.. Ni Kilometa zisizozidi 30 nauli ni sh 2000(elf 2) sasa Tarafa za wilaya ya Runzewe zitatoka wapi??. Siku nyingine soma hata Geography ya maeneo ndo uandike..
 
Binadamu kweli tunaupeo mfupi Sana hivi chato ikiwa mkoa ndiyo itakuwa ya kwanza kuwa mkoa? ebu jaribu kukumbuka tulipopata uhuru 61 tulikuwa na mikoa mingapi? na kwa sasa hivi ipo mingapi?
Bado upo usingizini kaka
 
Huenda ulikuwa na pointi, lakini Uzi wako umeuharibu kwa kutia chumvi zisizo na maana? Huenda pia maeneo uliyoyataja huyajui.. Kutoka Nyakanazi kwenda Runzewe.. Ni Kilometa zisizozidi 30 nauli ni sh 2000(elf 2) sasa Tarafa za wilaya ya Runzewe zitatoka wapi??. Siku nyingine soma hata Geography ya maeneo ndo uandike..

Kwani inashindikana.... acha kukalili bro, mbona kutoka katoro to buseresere ilikuwa ni mita chache ila ilikuwa mikoa tofauti hapo zamani??
 
Back
Top Bottom