ICT OFFICER
JF-Expert Member
- Oct 6, 2018
- 235
- 299
Hizi ni tetesi
Picha ziko wapi ili tuamini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha ziko wapi ili tuamini?
[emoji23][emoji23]Sawa tu....
Ila upendeleo uwe mfupi mfupi!
Akimaliza huko aje na chunya atutengeneze hata Base ya kutestia makombora yetu.
YaapHuwezi kuitoa Muleba KG ukaipeleka Chattel Luna undugu na ukaribu kati ya Muleba Misenyi na Karagwe kuliko B'muro
siyo Mkoa wa Chato Bali utakuwa Mkoa wa Rubondo,utabeba jina lahifadhi ya rubondo makao makuu ya mkoa yatakuwa chato,baadhi ya Wilaya zitakazounda mkoa huo ni B'muro, chato yenyewe, Runzewe,Wilaya mpya ya Buseresere,nk.Habari za chini kwa chini zinasema kuwa soon, wilaya ya chattl itakuwa mkoa kamili ikiundwa na wilaya zifuatazo
1. Biharamulo
2. Chattle yenyewe
3. Nyakanazi
4. Muleba
5. Runzewe
Pia hata ukiangalia majego yanayojengwa huko yamekaa mkoa mkoa.... Majengo ya TRA ni mazuri kweli hata hayapo bukoba ya namna hiyo
Police station ni ya ghorofa
Traffic light barabarani
Wanja wa ndege wa kimaifa.
And chattle university collage of Chemical Engineering.
Soon tutaongeza Jiji jipya la chattle.
Ukiona mtu anatukana ujue kimemuingia
Sawa sawa mkuu kutupa ufafanuzisiyo Mkoa wa Chato Bali utakuwa Mkoa wa Rubondo,utabeba jina lahifadhi ya rubondo makao makuu ya mkoa yatakuwa chato,baadhi ya Wilaya zitakazounda mkoa huo ni B'muro, chato yenyewe, Runzewe,Wilaya mpya ya Buseresere,nk.
Wewe naona majungu ni sehemu ya maisha yako.Habari za chini kwa chini zinasema kuwa soon, wilaya ya chattl itakuwa mkoa kamili ikiundwa na wilaya zifuatazo
1. Biharamulo
2. Chattle yenyewe
3. Nyakanazi
4. Muleba
5. Runzewe
Pia hata ukiangalia majego yanayojengwa huko yamekaa mkoa mkoa.... Majengo ya TRA ni mazuri kweli hata hayapo bukoba ya namna hiyo
Police station ni ya ghorofa
Traffic light barabarani
Wanja wa ndege wa kimaifa.
And chattle university collage of Chemical Engineering.
Soon tutaongeza Jiji jipya la chattle.
hahaha nimeona hio sifa.. asante kwa sifa kuu.Ni kweli mkuu ila miye sijakutukana, nimekusifia tu.
Hayo ni mawazo na fikra za mwenyekiti wetu wa chama sasa kama unapinga kila kitu kwa juhudi zake sawaYaani Muleba iwe wilaya ya mkoa wa chato? Labda Bmuro.
Halafu umeweka sababu za kimaskini sana eti kituo cha polisi ni ghorofa.
Eti kuna traffic light barabarani.
Nina uhakika haya ni mawazo yako baada ya kula dona na bakuli la chainizi.
Jamaa atajipa U-chancellor hapa.And Chato university collage of Chemical Engineering..
Sawa tu....
Ila upendeleo uwe mfupi mfupi!
Akimaliza huko aje na chunya atutengeneze hata Base ya kutestia makombora yetu.
Wapeleke hizo biharamulo,ngara nk sio muleba, bukoba,misenyi,karagweYaani Muleba Yangu iunganishwe na hawa wanyam*****nge, BIG NOOOOO!