Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Habari za chini kwa chini zinasema kuwa soon, wilaya ya chattl itakuwa mkoa kamili ikiundwa na wilaya zifuatazo
1. Biharamulo
2. Chattle yenyewe
3. Nyakanazi
4. Muleba
5. Runzewe

Pia hata ukiangalia majego yanayojengwa huko yamekaa mkoa mkoa.... Majengo ya TRA ni mazuri kweli hata hayapo bukoba ya namna hiyo

Police station ni ya ghorofa

Traffic light barabarani

Wanja wa ndege wa kimaifa.

And chattle university collage of Chemical Engineering.

Soon tutaongeza Jiji jipya la chattle.
siyo Mkoa wa Chato Bali utakuwa Mkoa wa Rubondo,utabeba jina lahifadhi ya rubondo makao makuu ya mkoa yatakuwa chato,baadhi ya Wilaya zitakazounda mkoa huo ni B'muro, chato yenyewe, Runzewe,Wilaya mpya ya Buseresere,nk.
 
Sawa sawa mkuu kutupa ufafanuzi
 
Habari za chini kwa chini zinasema kuwa soon, wilaya ya chattl itakuwa mkoa kamili ikiundwa na wilaya zifuatazo
1. Biharamulo
2. Chattle yenyewe
3. Nyakanazi
4. Muleba
5. Runzewe

Pia hata ukiangalia majego yanayojengwa huko yamekaa mkoa mkoa.... Majengo ya TRA ni mazuri kweli hata hayapo bukoba ya namna hiyo

Police station ni ya ghorofa

Traffic light barabarani

Wanja wa ndege wa kimaifa.

And chattle university collage of Chemical Engineering.

Soon tutaongeza Jiji jipya la chattle.
Wewe naona majungu ni sehemu ya maisha yako.
 
Yaani Muleba iwe wilaya ya mkoa wa chato? Labda Bmuro.
Halafu umeweka sababu za kimaskini sana eti kituo cha polisi ni ghorofa.
Eti kuna traffic light barabarani.
Nina uhakika haya ni mawazo yako baada ya kula dona na bakuli la chainizi.
Hayo ni mawazo na fikra za mwenyekiti wetu wa chama sasa kama unapinga kila kitu kwa juhudi zake sawa
 
Ni kweli nasikia sehemu ya kagera biharamulo,ngara na parts za muleba ,chato itatengeneza mkoa wa rubondo na game reserve za biharamulo zimekuwa national parks kisa hicho
 
Yaani wahaya wa muleba uwapeleke chato? Na ndugu zao wa bukoba,misenyi unamwachia Nani
 
Back
Top Bottom