Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
He he he he.
Naona Kiranja wa zamu kaamua aiseee.
Ila kila Rais anayeingia madarakani angeamua kufanya hivi kwao, Tanzania nzima ingekuwa Ulaya kwa sasa.
Yale mahela waliyoficha Uswisi yangetumika kujenga hata kwa ndugu zao huko wanakotoka, ingekuwa poa sana.
Ilikuwa 2018 jamaa alisema soon mpaka sasa 2021 mchakato unaendelea na mpaka wakidhi vigezosasa mlikuwa mnabisha nini
Niliwaza hivyo hivyoWanajihami ili ya Gbadolite yasije kujirudia Chato.
Ilikuwa 2018 jamaa alisema soon mpaka sasa 2021 mchakato unaendelea na mpaka wakidhi vigezo
Sio sahihi.kuwa mkoa kuna vigezo vyake ikiwemo gharama.ndio maana butiama haikuwa mkoa ingawa baba wa taifa alizaliwa pale.tusijegeuze kama watu wa korea ya kaskazini,kila kitu kinaitwa Kim Il Sung.
hapo watakuwa wamecheza,tofauti na hapo watafugia panyaWanajihami ili ya Gbadolite yasije kujirudia Chato.
Mama Samia amesema kwenye hotuba yake leo kabla ya JPM kushushwa kaburini. Kasema mchakato wa kugeuza chato kuwa mkoa uendelee.Naomba mama samia, asimamie sheria..
Kuna mikoa inahitaji kugawanywa na sio chato
1. Morogoro
2. Ruvuma
3. Tabora
4. Pwani
5. Lindi
Mkuu
Niambie mkuu.Mkuu
Mungu ibariki JFIwe nchi kabisa na bendera yake!