Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani mkuu chato ikiwa mkoa ni dhambiChato iwe nchi jamani
mkoa rasmi wa wahu...tu..khaaaaaaaaa only in Tanzania
Nakubaliana nawe. Tanzania nzima mikoa ile 12 ya mwanzo ilikuwa inatosha. Kilichokuwa kinahitajika ni kuimarisha miundo na mifumo ya utoaji huduma na usimamiaji utendaji.Dunia ya sasa ni kama kijiji Kaka. Suala sio kuanzisha mikoa na mbwembwe zake na gharama zake za kisiasa. Suala ni kuimarisha MAWASILIANO. Miundombinu iwe mizuri. Tanzania hii ni jimbo moja la Marekani.
Hii comment niliimis sana kutoka kwa mkuu gogo LA shambakama nilivyosema tutasikia mengi na kuona mengi ndani ya hii miaka mitano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tikatika upo sawa kabisa, wafanye iwe jamhuri afu waondoke na mtu wao kabisakwann isiwe jamhuri ya watu wa chato na wakamchukua mtu wao watuachie Tanzania yetu??? fanyeni hivyo bhana
Safi sanaKwenu,
Tetesi zinavuma juu ya Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya wa Rubondo.
Ilianza mipango ya uwanja wa ndege, kisha hospitali ya rufaa ambayo ilitakiwa kuwa Geita na sasa CRDB wamefungua bank Chato. Hawakuwa na pango huo awali lakini 'utafiti' wa Magufuli umewavutia kufanya hivyo.
Labda jina litabadilika sababu ya kuvuja siri lakini maandalizi yako mbioni. Rubondo Region itamega Biharamulo, Runzewe na Kibondo.
Tutege sikio
anamuandalia Kagame Bahima empire mkuu wa mkoa na viongozi wa chini watakuwa Watusi, wataweka kambi waasi ya siri biharamulo na ngara, mkija shtuka kagame Yuko Dodoma[emoji23] [emoji23] [emoji23] tikatika upo sawa kabisa, wafanye iwe jamhuri afu waondoke na mtu wao kabisa