Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mlimpa kura..?Hahahahaha! Jamani li morogoro hawalioni lilivyo kubwa waligawe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlimpa kura..?Hahahahaha! Jamani li morogoro hawalioni lilivyo kubwa waligawe?
Hahahahaha Pohamba Upo Mkuu[emoji23][emoji23]
Issue ya Manyara na Arusha ni serious case na ilijadiliwa muda mrefu sana!! Arusha ilikua kubwa mno na mkapa ndiye alianzisha mchakato kwa kuunda tume na hatimaye kuja na mapendekezo ya kuugawanyaHakuna Tatizo Kwa kuwa Hata Sumaye akiwa PM ndio Manyara ikazaliwa kutoka Arusha
Katavi ilizaliwa kutoka Rukwa wakati wa Pinda
Tunategemea Pia Mkoa wa Ruangwa kutokea Lindi
Tulikuwa tunamsakama Jakaya anapendelea kwao Bagamoyo sasa tumepata Mtu anaetufundisha maana ya kupendelea kwao
Issue ya Manyara na Arusha ni serious case na ilijadiliwa muda mrefu sana!! Arusha ilikua kubwa mno na mkapa ndiye alianzisha mchakato kwa kuunda tume na hatimaye kuja na mapendekezo ya kuugawanya
Kabla ya kugawanywa arusha ndo ulikua mkoa mkubwa nchini kuliko yote!!Ukubwa wa Arusha unafikia wa Morogoro? Kwanini mpaka Leo Moro haujagawanywa?
Unajua Idadi ya Wilaya za Mkoa Katavi
Kwakweli.... the future is exciting!!Yajayo yanafurahisha, je upo tayari?
vodacom bana ni manabii haswaa
Na wewe unashabikia such a bad precedence? Kumbe kwa wachagga ni chuki tu? You all now wish you could do the same!Hakuna Tatizo Kwa kuwa Hata Sumaye akiwa PM ndio Manyara ikazaliwa kutoka Arusha
Katavi ilizaliwa kutoka Rukwa wakati wa Pinda
Tunategemea Pia Mkoa wa Ruangwa kutokea Lindi
Tulikuwa tunamsakama Jakaya anapendelea kwao Bagamoyo sasa tumepata Mtu anaetufundisha maana ya kupendelea kwao
Kwa Sasa haufiki, ila kabla ya kugawanywa ndio uliokuwa mkoa Mkubwa kuliko yote Tz ukiwa na Kilomita za Mraba 82000! Ukiangalia kwa Sasa, Tabora ndiyo kubwa!Ukubwa wa Arusha unafikia wa Morogoro? Kwanini mpaka Leo Moro haujagawanywa?
Unajua Idadi ya Wilaya za Mkoa Katavi