Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

kuna shida yoyote ya kimaendeleo zaidi ya dhana ya upendeleo ambayo hairudishi maendeleo nyuma? niambieni kama kuna drawbacks katika maendeleo ya sehem hzo husika na Tanzania kwa ujumla?
 
Hakuna Tatizo Kwa kuwa Hata Sumaye akiwa PM ndio Manyara ikazaliwa kutoka Arusha

Katavi ilizaliwa kutoka Rukwa wakati wa Pinda

Tunategemea Pia Mkoa wa Ruangwa kutokea Lindi

Tulikuwa tunamsakama Jakaya anapendelea kwao Bagamoyo sasa tumepata Mtu anaetufundisha maana ya kupendelea kwao
Issue ya Manyara na Arusha ni serious case na ilijadiliwa muda mrefu sana!! Arusha ilikua kubwa mno na mkapa ndiye alianzisha mchakato kwa kuunda tume na hatimaye kuja na mapendekezo ya kuugawanya
 
Huyu jamaa ni kama Ngamia. Akiingiza kichwa hemani ukamwacha mwisho ataingia na mwili wote. Alianza kutaka jimbo la Chato akafanikiwa. Kisha Wilaya na sasa mkoa. Tumwombee kwa yule mungu wake atakayemfanya kuwa Nyapara wa malaika ili afanikiwe kupata nchi yake ya Chato kabisa ila baadae tusije pata viongozi kama yeye toka eneo hilo la dunia waongoze Tanzania
 
Issue ya Manyara na Arusha ni serious case na ilijadiliwa muda mrefu sana!! Arusha ilikua kubwa mno na mkapa ndiye alianzisha mchakato kwa kuunda tume na hatimaye kuja na mapendekezo ya kuugawanya

Ukubwa wa Arusha unafikia wa Morogoro? Kwanini mpaka Leo Moro haujagawanywa?

Unajua Idadi ya Wilaya za Mkoa Katavi
 
Hiii habari sio ngeni masikioni mwa wenyeji wa mikoa na wilaya zilizotajwa. Ukitaka kuichimba vizuri habari hii ni sharti uwe sehemu ya tukio uwasikilize wenyeji mitazamo yao kuhusu upatikanaji wa huduma muhimu katika eneo tajwa. Hili linazungumzwa tangu miaka hata zaidi ya miwili nyuma.
 
Hakuna Tatizo Kwa kuwa Hata Sumaye akiwa PM ndio Manyara ikazaliwa kutoka Arusha

Katavi ilizaliwa kutoka Rukwa wakati wa Pinda

Tunategemea Pia Mkoa wa Ruangwa kutokea Lindi

Tulikuwa tunamsakama Jakaya anapendelea kwao Bagamoyo sasa tumepata Mtu anaetufundisha maana ya kupendelea kwao
Na wewe unashabikia such a bad precedence? Kumbe kwa wachagga ni chuki tu? You all now wish you could do the same!
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Back
Top Bottom