Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Nitapita hapo kwenda bk lakini mmmm hakuna mkoa pale afu chato hakna waskuma uyu mtu alitokea wapi
 
hata miye nikiwa rais,wilaya ya iramba inakuwa makao makuu mapya ya mkoa sekenke,ambao utajumuisha wilaya za iramba,igunga,meatu,ikungi na nzega!
 
Na wewe unashabikia such a bad precedence? Kumbe kwa wachagga ni chuki tu? You all now wish you could do the same!


Wapi nimeshabikia?

Kukumbushia Matukio ya Zamani no kushabikia?

Tangu tumerudisha Mfumo wa Vyama vingi Hakuna Uchaguzi ambao Mtu wa Kaskazin hajajaribu Kugombea Urais na Mungu kasaidia chaguzi zote wamepigwa chini

1995-2005 alipatikana tu First Lady lakin mpaka Wanyama walijua kuna Mchagga Ikulu
 
kwann isiwe jamhuri ya watu wa chato na wakamchukua mtu wao watuachie Tanzania yetu??? fanyeni hivyo bhana

Jiandaeni kisaikolojia

1) Miss Chatto kuwa Miss Tanzania

2) Mwanafunzi bora kitaifa kutokea Chatto
3) Kabla ya 2020 Chatto kupata Timu ya Ligi kuu
4) Kilele cha Fiesta kufanyikia Chatto
5) Mwenge kuzimiwa Chatto!

Chatto kwa 'Wanyonge wa Tz' sasa ni Kama Jerusalem Kwa Wayahudi
 
Ndugu zangu, kuna kosa hapo? Wakati Manyara inakuwa mkoa, tulikuwa kimya. Kwa nini tupige kelele za Mkoa wa Rubondo?
 
Hata kama jpm ni mvutia kwao, ila kwa hili nasema ni 'wivu wa kike'
 
Hiii habari sio ngeni masikioni mwa wenyeji wa mikoa na wilaya zilizotajwa. Ukitaka kuichimba vizuri habari hii ni sharti uwe sehemu ya tukio uwasikilize wenyeji mitazamo yao kuhusu upatikanaji wa huduma muhimu katika eneo tajwa. Hili linazungumzwa tangu miaka hata zaidi ya miwili nyuma.
Morogoro subirini
 
Bavicha mwaka huu mmebaki kuunga mwongozo wa Mange Kimambi tu
 
Kile kiberenge walichokizindua juzi kitafika hadi chato
 
Hivi huko chato kama inawezekana siwangeihamishia na bahari kabisa huko ili kuwe na bandari pia wapige dili vizuri khaaaa 26.4.
 
Back
Top Bottom