Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Nitapita hapo kwenda bk lakini mmmm hakuna mkoa pale afu chato hakna waskuma uyu mtu alitokea wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku gharama za kuendesha tawi ni branch manager, tellers watatu, loan officer, na walinzi...Tangu Bank ya CRDB wafungue branch huko Chato wameingia wateja 3 tu.
Na wewe unashabikia such a bad precedence? Kumbe kwa wachagga ni chuki tu? You all now wish you could do the same!
kwann isiwe jamhuri ya watu wa chato na wakamchukua mtu wao watuachie Tanzania yetu??? fanyeni hivyo bhana
Mara paaaaap...Jamhuri ya Muungano wa Chatonia
Mara paaaaap...Jamhuri ya Muungano wa Chatonia
On a serious, huyu jamaa siyo mzima kichwani tuache kucheka jama!
Tabora nayo wanamuachia nani li Tabora li kubwa balaa.Hahahahaha! Jamani li morogoro hawalioni lilivyo kubwa waligawe?
Morogoro subiriniHiii habari sio ngeni masikioni mwa wenyeji wa mikoa na wilaya zilizotajwa. Ukitaka kuichimba vizuri habari hii ni sharti uwe sehemu ya tukio uwasikilize wenyeji mitazamo yao kuhusu upatikanaji wa huduma muhimu katika eneo tajwa. Hili linazungumzwa tangu miaka hata zaidi ya miwili nyuma.
Kabasa. Ikiwezekana awe rais wao wa kudumuIwe nchi kabisa na bendera yake!