Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Habari za chini kwa chini zinasema kuwa soon, wilaya ya chattl itakuwa mkoa kamili ikiundwa na wilaya zifuatazo
1. Biharamulo
2. Chato
3. Nyakanazi
4. Muleba
5. Runzewe

Pia hata ukiangalia majego yanayojengwa huko yamekaa mkoa mkoa.... Majengo ya TRA ni mazuri kweli hata hayapo bukoba ya namna hiyo

Police station ni ya ghorofa

Traffic light barabarani

Wanja wa ndege wa kimaifa.

And Chato university collage of Chemical Engineering.


Soon tutaongeza Jiji jipya la chattle.
 
Sasa jamani chato ikiwa mkoa kuna lipi la maana ambalo watanzania wengi watalikosa? Songwe ni moja ya mikoa michanga sana hamjalalamika kuundwa kwake, iweje Hiyo chato, au kisa Rais magufuli anatokea huko?

Ombeni Katiba mpya na kilimo kinachoajiri almost 89% of the whole population kiboreshwe. Hizi reasonable projects msihangaike nazo.
 
Back
Top Bottom